Ni birthday yangu 50 years

Ba mkubwa alikata kona siku nyingi alikimbia na dogodogo anasubiri watoto wapate kazi arudi analialia kama Baba Diamond, lakini hiyo hainizuii kuwa na furaha kufikisha nusu karne.
Sawa Mama Kubwa so Sherehe unafanyia wapi maana 50 years sio mchezo?
 
Kheri ya Kuzaliwa Mama. Nimejikuta nafurahia tu hiyo age yako sababu kina sie bado tuna safari ndefu mnoo kufika hapo ulipofika Mkuu.
Bado miaka mingapi kufikia umri wa Mama Kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…