Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Ha ha ha ha unaogopa tutapunguza umri kwa 25%?Cha zamani leta hicho kipya hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha unaogopa tutapunguza umri kwa 25%?Cha zamani leta hicho kipya hapana.
😀😀😀jua na wewe atakukalikuleti ajue umri wako😆
Kweli kabisa Mama angu kwa umri huo ni dhahiri ushakutana na mengi. Pole lakini.Ni kweli umri una maana nyingi nimepitia mengi mishale, maumivu ya kuondokewa na wapendwa nk.
Woow unalingana na dada yangu aliyenilea. Happy birthday mama kubwaNi dada kidogo tu nahisi atakuwa wa 66 mie 69 kila la heri mwanangu.
AsanteKweli kabisa Mama angu kwa umri huo ni dhahiri ushakutana na mengi. Pole lakini.
M'Mungu azidi kukuweka Mama.
Ha ha ha ha acha woga muda wako ukifika wala hakutakuwa na hayo mamboHahahaaa. Hatujasahau ujue wengi walidanja kwa kusikia ile Kikokotoo. 😀😀😀😀
Na kama mie natamani nifikishe hizo miaka sasa mambo za 25% hapana kwa kweli. 😀😀😀😀
Herri ya kuzaliwa mama.Nipeni hata malike nusu karne, Asante MUNGU .
Kantwe umepata dada mwingine JF. Asante.Woow unalingana na dada yangu aliyenilea. Happy birthday mama kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kantwe umepata dada mwingine JF. Asante.
Mie ninalo la kiasi sio flat wala sio mchina.happy birthday big mamaaa[mama kubwaaa]....kuna mmoja pale arusha anaitwa mama kubwa kweli mama kubwaa anabonge la kalio
haha embu tulione....joking.have funny mama kubwaMie ninalo la kiasi sio flat wala sio mchina.
Nimekupendea hapa jaman..hebu siku 1 mtupe moyo na sisi khaa!hhhaha happy birthday AuntBa mkubwa alikata kona siku nyingi alikimbia na dogodogo anasubiri watoto wapate kazi arudi analialia kama Baba Diamond, lakini hiyo hainizuii kuwa na furaha kufikisha nusu karne.
Ba mkubwa alikata kona siku nyingi alikimbia na dogodogo anasubiri watoto wapate kazi arudi analialia kama Baba Diamond, lakini hiyo hainizuii kuwa na furaha kufikisha nusu karne.
Maisha ya kulea familia peke yako ni magumu madeni ni kitu hakiepukiki unakopa wee hadi ukifika mwisho wa mwezi unabaki mweupe. Jambo la kushukuru maisha yanakwenda hayagandi. Huwa nakosa majibu nikimuona baba Diamond anataka kutuzwa na kupendwa na mtoto aliemkataa. Nikikueleza maneno, kashfa, dharau za mtu niliezaa nae hutaamini kama ni binadamu wa kawaida. Kikubwa mimi binafsi nimemsamehe khs watoto nimewaeleza hawastahili kulipa kisasi kwani kisasi ni juu ya MUNGU sio wao. mioyoni mwao sijui wanawaza nini lakini kila wapoongea maneno ya chuki najaribu kuwarudisha kwenye mstari mengine nawaachia wao maana sitaishi milele wajibu wangu nimeutimiza kama mzazi. Kuhusu wanawake wanaopitia maisha kama yangu ushauri wasikate tamaa, watimize wajibu wao kadri wanavyoweza, kila kitu shida na raha vyote huwa vina mwisho wawe na furaha wajiepushe kuishi bila kufuatilia maisha ya watalaka/ EX wao watakuwa na amani kubwa.Aunti yake niwe mkweli huku kitaa wanawake wegi ni woga kuishi maisha unayoishi ww sasa hv..wanagugumia tu...samahan unaweza kuwaambia nn wanawake wa namna hyo?i mean una neno gan zuri la kuwapa moyo..au unaweza kutupa abc ulipitia changamoto gan zaidi (thou zinajulikana)..
nataman iwepo sredi ya kupeana changamoto baada ya maisha ya ndoa (kwa watalaka au watalikiwa au waloamua kutengana!ila najua itavamiwa!(watakuja na maneno mke mjinga huvunja nyumb yKe kw mikono yake mwenyewe😂😂epheww
Maisha ya kulea familia peke yako ni magumu madeni ni kitu hakiepukiki unakopa wee hadi ukifika mwisho wa mwezi unabaki mweupe. Jambo la kushukuru maisha yanakwenda hayagandi. Huwa nakosa majibu nikimuona baba Diamond anataka kutuzwa na kupendwa na mtoto aliemkataa. Nikikueleza maneno, kashfa, dharau za mtu niliezaa nae hutaamini kama ni binadamu wa kawaida. Kikubwa mimi binafsi nimemsamehe khs watoto nimewaeleza hawastahili kulipa kisasi kwani kisasi ni juu ya MUNGU sio wao. mioyoni mwao sijui wanawaza nini lakini kila wapoongea maneno ya chuki najaribu kuwarudisha kwenye mstari mengine nawaachia wao maana sitaishi milele wajibu wangu nimeutimiza kama mzazi. Kuhusu wanawake wanaopitia maisha kama yangu ushauri wasikate tamaa, watimize wajibu wao kadri wanavyoweza, kila kitu shida na raha vyote huwa vina mwisho wawe na furaha wajiepushe kuishi bila kufuatilia maisha ya watalaka/ EX wao watakuwa na amani kubwa.
Hongera sana kwa kugonga 50!Nipeni hata malike nusu karne, Asante MUNGU .
Karibu sana.Asante sana mamdg