mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
- Thread starter
- #61
Asante sana.Hongera sana kwa kugonga 50!
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana.Hongera sana kwa kugonga 50!
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
Asante ambalo nilikua sijui hata Mugabe the genious, amezaliwa tarehe ya leo.HBD.
Hbd Mama Kubwa Uishi Milele, Da nilitaka kukimbia na haka kadogodogo umetisha balaaa. Bora niendelee kuwa Sound master.Maisha ya kulea familia peke yako ni magumu madeni ni kitu hakiepukiki unakopa wee hadi ukifika mwisho wa mwezi unabaki mweupe. Jambo la kushukuru maisha yanakwenda hayagandi. Huwa nakosa majibu nikimuona baba Diamond anataka kutuzwa na kupendwa na mtoto aliemkataa. Nikikueleza maneno, kashfa, dharau za mtu niliezaa nae hutaamini kama ni binadamu wa kawaida. Kikubwa mimi binafsi nimemsamehe khs watoto nimewaeleza hawastahili kulipa kisasi kwani kisasi ni juu ya MUNGU sio wao. mioyoni mwao sijui wanawaza nini lakini kila wapoongea maneno ya chuki najaribu kuwarudisha kwenye mstari mengine nawaachia wao maana sitaishi milele wajibu wangu nimeutimiza kama mzazi. Kuhusu wanawake wanaopitia maisha kama yangu ushauri wasikate tamaa, watimize wajibu wao kadri wanavyoweza, kila kitu shida na raha vyote huwa vina mwisho wawe na furaha wajiepushe kuishi bila kufuatilia maisha ya watalaka/ EX wao watakuwa na amani kubwa.
Kama hutojali tafuta hii forum; "Talk about marriage" Talk About MarriageAunti yake niwe mkweli huku kitaa wanawake wegi ni woga kuishi maisha unayoishi ww sasa hv..wanagugumia tu...samahan unaweza kuwaambia nn wanawake wa namna hyo?i mean una neno gan zuri la kuwapa moyo..au unaweza kutupa abc ulipitia changamoto gan zaidi (thou zinajulikana)..
nataman iwepo sredi ya kupeana changamoto baada ya maisha ya ndoa (kwa watalaka au watalikiwa au waloamua kutengana!ila najua itavamiwa!(watakuja na maneno mke mjinga huvunja nyumb yKe kw mikono yake mwenyewe[emoji23][emoji23]epheww
Kila la kheri, ufanikiwe zaidi na uwe na afya njema pia.Nipeni hata malike nusu karne, Asante MUNGU .
Kama hutojali tafuta hii forum; "Talk about marriage" Talk About Marriage
Huko hakuna judgement kabisa, kuna topics za maisha baada ya divorce, jinsi ya kupitia kipindi kigumu baada ya kuachana, considering divorce, etc.
Mtumishi kwani unapitia haya magumu?[emoji39][emoji39][emoji39][emoji123][emoji123]asante mpendwa
Mtumishi kwani unapitia haya magumu?
Dadeq!!![emoji23][emoji7][emoji23]najipitisha mtumishi..!nayapitia nw!naandaa andiko nipewe 'hifazi' kanisani magomeni[emoji39]
mzee wa kanisa jaman😥Dadeq!!!
mwisho??Busara zako na Juhudi zako na uzaa wako ubarikiwe na Allah.., Nakutakia Mwisho mwema (hussni al-khatima)
hatma muruwah... (yaani Finali uzeeni)mwisho??
Shem ake mie