Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

Mimi nadhani kuanzia leo siasa tuache sisi wengine hatunafaiki na chochote wacha watawale tu muhimu turudi kwenye league yetu pendwa to EPL tufurahi haya ya siasa shauri yao, ila angalizo hakuna tena kusikia mtu anakuja kusema vyuma vimekaza sote tuwe na adabu.
 
Mleta mada ushukuru kura feki.
VINGINEVYO mambo yangekuwa tofauti.
Nchi imekuwa Mali ya ccm bunge linakwenda kuwa Mali ya ccm.
Ila je mmeshinda kihalali?
Mkuu, mie siko Chadema, kwa hiyo sina la kushukuru wala kusikitikia. Naongea facts
 
Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya viti sawa Bungeni kwa CCM na Upinzani, lakini mbunge yeyote wa upinzani akishinda kwenye uchaguzi huu ningependekeza ajiuzuru kuwapa CCM viti 100%.
Nasisitiza kauli yangu kuwa wale wapinzani wachache sana walioshinda Ubunge, wajiuzulu, waachieni CCM wafanye mambo yao tuone tutafika wapi.
 
Back
Top Bottom