Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sina sababu ya kupost picha yoyote kuwadhalilisha lakini, mtu anakaa afrika kusini miaka 30 lakini dah.
Maisha ya ugenini tena kwenye nchi za watu mambo ni magumu sana, ni kheri kama vipi, kaza tu hapahapa bongo aisee, mambo ya kukimbiakimbia, noma sana, ndo mana mo dewji, aligoma kufanya kazi marekani akarudi home, Fernandez wa Nala naye akarudi home kwanza hizi nchi za mbali shida tupu, inabidi uende ukiwa na ramani ya kueleweka.