Hao walioKaa Juu hapo..Mvua Ikinyesha Si Ardhi itatumbukia Wajiadhari sana Maana walipokaa Kuna Shimo
Vyote ni muhimu
SureElimu itamsaidia kugundua yaliyopo chini.. Maarifa yatamsaidia namna ya matumizi bora na sahihi
Kwa elimu ya Tanzania naungana naye, haimsaidii mtu hata kidogo ina mwandaa kuwa mjingaMwqndishi nadhani yupo kundi la akina Msukuma na Kibajaji, kubeza ELIMU
Hii picha inawalenga CCM, wamekalia madini huku ni masikini wa kutupwa
Siyo kweli. Ukiona unaandika hivyo basi ulifeli darasana. Hii unaitumia kama psychological relief