Ni bora kuwastaafisha wafanyakazi mapema wakajiajiri kuliko kuwaambia vijana wasio na mtaji wajiajiri

Ni bora kuwastaafisha wafanyakazi mapema wakajiajiri kuliko kuwaambia vijana wasio na mtaji wajiajiri

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji

kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja kujiajiri na kuajiri kundi kubwa la watu wasio na ajira


Badala ya kukaa miaka 30 au 40 kazini mwisho iwe miaka 10 tu unatoka kwenye mfumo wa ajira unaingia kwenye mfumo wa kuajiri

Sasa hii ya kuambiana kwamba vijana mjiajiri yaani wajiajiri vipi wakati hawana hata senti tano mfukoni
 
hao wafanyakazi wenyewe walimu wasioongezewa mishahara
wewe endelea kumkumbuka mwendazake tu
 
Back
Top Bottom