Livanga
JF-Expert Member
- Apr 15, 2010
- 470
- 148
This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila wewe kujua?"
Katika hili nikajiuliza hivi maumivu anayoyapata mwanamke anapogundua kuwa mume wake anamcheate yana uzito sawa na maumivu anayoyapata mwanume anapogundua watoto anaowahudumia kwa nguvu zake zote na kuwajali sio wake?