Na bado.Mpaka uitike "labeka"!Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.
Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”
Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Umechelewa kufahamu ilo mkuu,wasomi wengi ni single mazaNikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.
Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”
Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Well pole umechelewa kufahamuNikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.
Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”
Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Hapa unajifariji mkuu, labda ni 1/1900Ni mke wako mkuu, ana mentality za kipumbavu..
Wanao utii kwa mabosi wao yeees, na upendo mwingi kwa co-workers wa kiume.Wapo walioajiriwa na ni wake za watu lkn wana utii wa hali ya juu kwa waume zao...
Mimi naona maadili kwenye makuzi ndio yamekufa na sio ndoa yenyewe,families nyingi ni single mother or wanalelewa na yaya maisha yao ya kukuza watoto ni changamoto sanaBasi usimsomeshe binti yako, mrahisishie mwamba atakayemuoa.
Tukata mzizi wa fitna.
Jambo la kwanza kwenye kuoa ni kupata peace of mind, mambo ya kulea kusoma kwa watoto ni badaye.Kwa observation yangu ndogo
Kuna watu wanapata wake bora kwa ajili yao ila si mama bora haswa kwenye kuwaongoza watoto katika njia ya kimafanikio
Na kuna wanaooa mama bora kwa watoto ila ni wake pasua kichwa
Na wachache sana wanaopata mke bora lakini pia ambaye ni mama bora.
Ninachomaanisha, hao wasomi wana exposure na uelewa wa dunia inapoelekea hivyo huwa na chance kubwa zaidi ya kuwaongoza watoto hata kama usipokuwepo. Wengine wa darasa la saba ambao ni submissive, wanaweza kuwasimamia watoto kimaadili zaidi ila kwingine huko itategemea spirit yake ya utafutaji
Ila ukioa darasa la nne C na mama wa nyumbani. Kula raha ya kuonekana mfalme ndani ya nyumba ila omba sana usije kufariki maana familia yako itaishia hapo maana mkeo hatokuwa na option nyingine zaidi ya kuolewa tena ili aishi mjini. Je, vipi kuhusu watoto wako mkuu?...
Hivyo unaweza tafuta msomi mwenye maadili maana wapo wengi tu kama vile ambavyo la pili C wapo wengi tu wamevurugwa.
Kwani mke umemuoa kwa ajili ya tendo la ndoa pekee?Kwahiyo kwa kifupi unataka kijakazi na sio mke😀
Absolutely right unanunua cake au pizza nyumbani a subuhi ana beba kwenye wrapper ana wapelekea workmate wake kwanza kama ishara ya kuwajali, mke muajiliwa ni sumu hawana upendo wa dhati.Hapa unajifariji mkuu, labda ni 1/1900
Wanao utii kwa mabosi wao yeees, na upendo mwingi kwa co-workers wa kiume.
Hamna mwanamke anao zidi mwanaume akili labda ujanja janja au mwanaume kum-igonre tu, ili lipiteMwanamke kama hakupendi,
Mwanamke kama kakuzidi Akili,
Yaani anaweza kuwa darasa la saba lakini UPEO wa akili yake ukawa Mkubwa kuliko wako. Lazima akusumbue