Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Pole sana nakuelewa
 
Kadri Ke anavyopata zaidi pesa, elimu, marafiki, umaarufu, vyeo ndivyo aanavyodhihirika kitabia ni yeye pekee ndiye aliyewahi kuongea na Shetani bustanini Eden.

Si kila siku Me hulalamika mitandaoni kuwa hawaoni pesa za Ke kabisa ktk ndoa zao kwa kujenga familia bora, pesa zao huenda wapi?

Poleni sana Marioo mliopumbazwa kulelewa na Ke kwa fedheha na masimango tele kisa six packs, u-handsome boy na mapenzi ya wafilipino ilihali nyuma ya pazia Ke huwaona sawa na mizukule tu.

Extrovert, Bush Doctor, Painkiller etc...njooni muokoe akina Juniors wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hamna mwanamke anao zidi mwanaume akili labda ujanja janja au mwanaume kum-igonre tu, ili lipite

Wapo wanawake tunawaona wanaupeo Mkubwa kuliko baadhi ya wanaume.

Mwanamke akishakuzidi UPEO, pesa, na hakupendi umekwisha.

Hata awe hajasoma, mwanamke unapozungumza naye anajua tuu huyu mwanaume zimo ama hazimo.
 
Basi usimsomeshe binti yako, mrahisishie mwamba atakayemuoa.

Tukata mzizi wa fitna.
Kusoma ni kujenga msingi wa kujua kusoma, kuongea na kuandika lugha Mama, lugha za kimataifa, kujua hesabu za kujumlisha, kutoa, kuzidisha, na kugawanya kimaisha ila si kuwa na tabia za feminists kwa Me hatimaye kutungishwa mimba na kuwa single mothers tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wapo wanawake tunawaona wanaupeo Mkubwa kuliko baadhi ya wanaume.

Mwanamke akishakuzidi UPEO, pesa, na hakupendi umekwisha.

Hata awe hajasoma, mwanamke unapozungumza naye anajua tuu huyu mwanaume zimo ama hazimo.
Huyu iko nje ya ndoa wewe sio mme wake huwezi kujua anamzidi je akili, usichanganye professionalism ujuzi na akili za ndoa, boda boda alio oa hakimu hawezi kumzidi akili ila anamzidi ujuzi, elewa hilo mkuu.
 
Huyu iko nje ya ndoa wewe sio mme wake huwezi kujua anamzidi je akili, usichanganye professionalism ujuzi na akili za ndoa, boda boda alio oa akimu hawezi kumzidi akili ila anamzidi ujizi elewa hilo mkuu.

Tofautisha ELIMU na akili.

Mtu mwenye akili anaakili tuu hata kama hajasoma.

Kuna kakaangu yeye darasa la saba lakini kaoa mtu wa degree. Bro yupo smart Sana kichwani.
Na mkewe hamsumbui.

Sasa wewe kama unadegree alafu mke wa degree anakusumbua mwenye shida ni wewe.

Mwanamke ni mwanamke tuu.

Onyesha unamtaka sio unamhitaji. Hiyo ni KANUNI Moja.
Onyesha kuwa yeye ndiye anabahati kuwa na wewe na sio wewe unabahatk kuwa naye. Hiyo ni KANUNI ya pili.

Tatizo Linakuja pale mwanamke unapomuoa alafu anakuona wewe ndiye umebahatika kuwa naye. Hapo lazima akusumbue.
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Kwa sehemu ni sahihi na upande mwingine sio. Kuna wanawake kwa asili ni wavivu, au Malaya, au wachafu, au wachoyo au kiburi. Nk. Kusoma au kutosoma, kuajiriwa au kutoajiriwa hakuna mahusiano ya moja kwa moja na kiburi au umalaya. Wako akina mama wa nyumbani tu ila kilo moja tu ya nyama buchani au kilo moja ya sukari tayari amebebebwa. Tumuombe tu MUNGU kumpata anayeendana.
 
Mkuu kuna kusumbua na usumbufu mtu msumbufu huwezi kumzuia hata ukiwa na akili ila usumbufu unaweza kuepuka kwa kutumia akili, kwahiyo siwezi kumbadili ila naweza kuepuka usumbufu wake
 
Mwanamke anamsumbua mwanaume asiyempenda na asiyemhitaji.

Pia anamsumbua mwanaume mwanaume ambaye huyo mwanaume anamhitaji mwanamke badala ya Kumtaka Mwanamke.

Mwanamke anakuwa anautii KW mwanaume anayempenda
Lakini kwa mwanaume ambaye haogopi kumuacha Muda wowote.
Lakini ukionyesha kuhofia kumpoteza mwanamke lazima akusumbue.
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Mkuu, mbona kuna darasa la saba & form 4 failure wengi pia ni pasua vichwa kwenye ndoa zao? Nadhan tu hukupata mtu sahh.
 
Kwa sehemu ni sahihi na upande mwingine sio. Kuna wanawake kwa asili ni wavivu, au Malaya, au wachafu, au wachoyo au kiburi. Nk. Kusoma au kutosoma, kuajiriwa au kutoajiriwa hakuna mahusiano ya moja kwa moja na kiburi au umalaya. Wako akina mama wa nyumbani tu ila kilo moja tu ya nyama buchani au kilo moja ya sukari tayari amebebebwa. Tumuombe tu MUNGU kumpata anayeendana.
Ila kusoma na kuajiliwa huchochea mwanamke kua na kiburi kua mvivu kwa mme wake huanza kulinganisha workmate pomoja na boss wake, hata kama tabia ya umalaya hakua nayo anaweza kujifunza haraka.
 
Mwanamke anamsumbua mwanaume asiyempenda na asiyemhitaji.

Pia anamsumbua mwanaume mwanaume ambaye huyo mwanaume anamhitaji mwanamke badala ya Kumtaka Mwanamke.

Mwanamke anakuwa anautii KW mwanaume anayempenda
Lakini kwa mwanaume ambaye haogopi kumuacha Muda wowote.
Lakini ukionyesha kuhofia kumpoteza mwanamke lazima akusumbue.
Some time upendo wamwanamke hutokana na mwanaume kukubali usumbufu na kuupokea unao toka kwa mawana mke na chuki kutoka kwamke hutokana na msimamo wa mwanaume kukataa kupokea na kukubali huo usumbufu wa mwanamke.
Mkuu kumbuka upendo sio static hubadilika kilingana na vitendo vya wahusika hao wawili, mwanamke ni kiumbe very dynamic hubadilika overnight hamna grantee kwenye kupwendwa na mwanamke.
 
Wewe form four failure halafu unaoa form four failure au darasa la saba ni majanga matupu.
Mkuu sihitaji academician kwenye ndoa kwasbb kwenye ndoa yangu sina mpango wakifungua institution ya elimu, iwe shule au hospitali, kwa mahitaji muhimu ya mke kwangu hata form four is over qualified
 
Back
Top Bottom