Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Ukichagua kulima mbaazi wakati wa mavuno usitegemee kupata maharage.

KILA SIKU TUNAWASHAURI HAPA NDOA SIO YA KILA MTU, "MWANAUME KAMA HUJAJITAFUTA UKAJIPATA USIOE" TAFUTA KWA MALI.

UKIVUNJA HII SHERIA LAZIMA NDOA KWAKO IWE CHUNGU, NDOA ZA 50/50 NI ZA WANAUME WALIOKUBALI KUENDESHWA NA WANAWAKE, WANAUME WAVIVU WA MAISHA,WANAUME WALIOKUBALI KUSIKILIZA UPUMBAVU WA JAMII INAYOMZUNGUKA.

UNAOA HUNA HELA, MKE WAKO KIPATO CHAKE KIPO KARIBU NAWE AU ZAIDI YAKO. HAPO WEWE TAMBUA NDO UMEOLEWA.UTAENDESHWA KAMA GARI BOVU NA UTAKUFA NA MAUMIVU MAKALI SANA KWA UJINGA WAKO WA KUPINGANA NA KANUNI ZA MAISHA.

HAKI SAWA IMEIHARIBU HII DUNIA NDIO MAANA TAASISI YA FAMILIA IMELEGALEGA. WANAUME WENGI WAMEKOSA SAUTI NDANI YA NYUMBA ZAO KWASABABU HAWANA UCHUMI AU WANAZIDIWA UCHUMI NA WANAWAKE ZAO.

TAMBUA "MWANAMKE AKIKUZIDI AU MKILINGANA KAMWE HATAKUHESHIMU" HII NI KANUNI IAPPLY KOKOTE PALE KAZINI,NYUMBANI AU KWENYE JAMII.


MWANAMKE UTII WAKE UPO KWA KILICHOJUU YAKE/ KILICHOMZIDI!!!!

UKITAKA MAMLAKA YATAFUTE, MAMLAKA NI YA WAFALME, KUWA MFALME KWENYE HIMAYA YAKO ILI UFURAHIE HIMAYA ULIYOIANZISHA NA SI KUWA MTUMWA KWENYE HIMAYA YAKO HAYO NI MATUSI NA KUJIKOSEA HESHIMA.
 
Kweli kabisa, ila hizo tabia wanazilea wenyewe.
 
Kweli kabisa, ila hizo tabia wanazilea wenyewe.
Wazee wetu hawakuwaga wajinga kuoa wake wengi..

Yani walikuwa wanaoa hata wakiwa na miaka 60..

Ilikuwa mwanamke ukizingua anapiga chini anaangalia ustaarabu mwingine..
 
Kuna jamaa mmoja hivi tulikuwa naye chuoni akawa anadate mwanachuo mwenzetu wa kike.Baada ya kumaliza chuo walioana.mwanamke alijiendeleza na sasa ni dokta wa falsafa.Ndoa haikudumu.mwanamke kasepa kamwachia watoto mpaka leo hii.
 
Kuna jamaa mmoja hivi tulikuwa naye chuoni akawa anadate mwanachuo mwenzetu wa kike.Baada ya kumaliza chuo walioana.mwanamke alijiendeleza na sasa ni dokta wa falsafa.Ndoa haikudumu.mwanamke kasepa kamwachia watoto mpaka leo hii.
Hapo alichemsha kabisa hata kiumri hakua wife material kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…