Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

MKUU mke aliubwa kwa MWANAUME mwenye akili tu,


ukikosa Akili hata huyo wa standard seven atakushinda tu,


Usitupe lawama kwa wengine kaa chini na wewe pia ujitathmini kama una sifa za kuwa mme B'se tatizo linaweza kuwa wewe kuna mahali umepwaya kama mme au baba au kiongozi wa familia Ndio maana mke anakudhalau
Mie ndio maana nasema mwanamke kabla hujamuoa lazima uwe ulishaga mzabua makofi.
Hayo mapenzi yenu ya kihindinsijui kuchikuchi hotae ndio madhara yake hayo
 
Tatizo linaanza pale utakapoanza kugawana majukumu ya familia na mwanamke, ndugu zangu wanaume hakikisha unatimiza majukumu yako yote kama baba, mume na kichwa cha familia.
Angalizo:
"Kama huna akili timamu usioe"
 
Glass baridi ya juice ukiwa umechoka si salama kwa afya yako

Alisikika Prof Janabi akisema
 
Hik
Kwa observation yangu ndogo

Kuna watu wanapata wake bora kwa ajili yao ila si mama bora haswa kwenye kuwaongoza watoto katika njia ya kimafanikio

Na kuna wanaooa mama bora kwa watoto ila ni wake pasua kichwa

Na wachache sana wanaopata mke bora lakini pia ambaye ni mama bora.

Ninachomaanisha, hao wasomi wana exposure na uelewa wa dunia inapoelekea hivyo huwa na chance kubwa zaidi ya kuwaongoza watoto hata kama usipokuwepo. Wengine wa darasa la saba ambao ni submissive, wanaweza kuwasimamia watoto kimaadili zaidi ila kwingine huko itategemea spirit yake ya utafutaji

Ila ukioa darasa la nne C na mama wa nyumbani. Kula raha ya kuonekana mfalme ndani ya nyumba ila omba sana usije kufariki maana familia yako itaishia hapo maana mkeo hatokuwa na option nyingine zaidi ya kuolewa tena ili aishi mjini. Je, vipi kuhusu watoto wako mkuu?...

Hivyo unaweza tafuta msomi mwenye maadili maana wapo wengi tu kama vile ambavyo la pili C wapo wengi tu wamevurugwa.
Haya mawazo ndo yananifanya nisiondoke mbali na huu Uzi.
 
We Acha kufikiria kupitia Kalio... Mwanaume anahitaji kuheshimiwa na mwanamke regardless Hana au anacho.Kwenda kinyume ni hatari Sana Kwa mwanamke huyo.Na nimaandiko.Au kwakuwa umempata low level mindset basi unaona umemaliza shida
We Acha kufikiria kupitia Kalio... Mwanaume anahitaji kuheshimiwa na mwanamke regardless Hana au anacho.Kwenda kinyume ni hatari Sana Kwa mwanamke huyo.Na nimaandiko.Au kwakuwa umempata low level mindset basi unaona umemaliza shida

Thanks Quote Reply
 
Kama wew umechoka unazan na yeye ajachoka m-bwa wew

Kizaz cha sasa tubadlke tujifunze stadi muhimu za kujitekelezea majukumu yetu kama
Kujiandalia msos
Kuosha sahau tuliyokulia chakula
Kujipakulia chakula
Kujifulia coz days Go will not be the part of marriage business
Shikamoo mkuu🤣🤣🤣
 
Pasi nashaka wewe ni mhanga kama Mimi...
Wakwangu anakazi akanunua Gari lake wakati Mimi napambana na ujenzi.
Siku iso eleweka sikuliona lile Gari nilivyo muuliza akanijibu Gari lako au Langu
Pia umenioa Mimi ama Mshahara wangu.
Bado mpo kweli🤣🤣
 
Ndoa ni kuvumiliana na kurekebishana. Je kuna hatua zozote unachukua kumrekebisha? Au mpe talaka oa mwingine wapo wengi mkuu
 
Back
Top Bottom