Muramwaito
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 309
- 620
Ili
Nakuelewa sana il Ata mimi linanipa mawazo sana Ebu just imagine mama kaishia darasa la saba au fomfour failure hivi watoto watasoma kweli?? Ni kweli ni submissive Ila Sasa exposure ya maisha zero Ila hao wasomi ni exposed but not submissive haka ni ka mtihani sana lakini
Conclusion bora kuoa tabia kuliko hayo material thing education is a material thing kama una degree oa diploma, certificate, mzidi umri hela, urefu, Akili
Mwanamke acha kuzidi upendo, kuabudu,
Ila hakikisha hekima zenu zinakuwa sawa
Ulimwengu umeubwa kwa kanuni na zipo zinaexist na ukizifuata hutokutana na ukinzani katika MAISHA na hata kama ukikutana nao utaumudu
Ukiwa na UPENDO MWANAMKE yoyote yule hata awe na kiburi na jeuri KIASI Gani lazima atashuka chini tu, katika vitabu vitakatifu MUNGU ametuagiza👉 "tuwapende wake Zetu kama KRISTO alivyolipenda kanisa"
Huwezi kutoa Kitu ambacho huna, tunatoa tulivyonavyo sasa huwezi kutoa upendo kwa mke kama huna UPENDO na watu Wengi hawaelewi maana ya UPENDO au UPENDO ni Nini...!
Wanaume wengi wa dunia hi ya anguko wanamapenzi hivyo hutoa mapenzi kwa wake zao wakidhani wanawapenda wake zao, kumbe wanamapenzi na wake zao Kitu ambacho ni kinyume na kanuni ya universe Ndio maana wanakutana na ukinzani na maumivu, wake zao wanashindwa kuwatii na kuwaheshimu