Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Ndiyo mimi ni mwanaume rijali, wewe ndo maana wewe na wenzako ni singo maza, kwa ujuaji wenu, unalazimisha mme wako awashe vyombo.
Wewe utakuwa mtoto wa singlemaza umezoea kudekadeka hovyo sisi wanaume wengine issue kama hizo ni ndogo sana
 
Wengi mna ile dhana kwamba, "nikio mwenye degree, tutasaidiana maisha"
Pole sana, Wanawake wa ngazi hiyo wana sifa hizi:-

1.Kukosa uaminifu
Kabla ya ndoa na wewe, mwenzio alikua na ndoa huko chuoni
Kabla ya ndoa na wewe mwenzio alikua anatunzwa na mume wa mtu
Baadaya wewe kuoa, mwenzio ana mwenzie huko kazini/kwenye biashara zake
Baadaya ya wewe kuoa bado yuko na yule Ex kipenzi.

2.Kukosekana amani na utulivu kwenye ndoa
Baada ya kuoa ndio utajua umeingia kwenye mahangaiko yasiyo na mwisho, uko kwenye kitanzi na unajinyonga mwenyewe taraaaatiiiibuuu.
Hao watu hawana unyenyekevu, hawana utii, hawana upendo wa kweli, hawana kujishusha wao kila vita lazima wapigane. kama vipi anabeba vilivyo vyake anakwenda kupanga chumba/vyumba, kwa sbb kipato anacho. Wewe unajenga nyumba mwenzio anabomoa!

Hivyo ndoa za sasa ni kama unafanya betting
Oa at your own risk
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Huyo tiyari ana mume mwingine kazini kwake.
 
Tuliooa Ke wa kawaida kiuzuri wa sura na maumbile"sura za Baba", kielimu (wajuao kusoma, kuongea na kuandika Swahili & English na B maths), si maarufu ki-usister duu, kifedha, Wafanyakazi & Wafanyabiashara wa kipato kidogo si cha juu kuliko Me ila ni wacha Mungu wenye maarifa na tuseme Amen...🙏

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ameeen🙏🙏🙏
 
hakuna zuri kwa hao viumbe, awe wa chekechea C ama uniV, kama hakupendi kwa dhati kutoka moyoni mwake ni KAZI BURE tu. raha ya mapenzi ni mwanamke akupende wewe zaidi, hapo utaENJOY mapendo haswa. kinyume na hapo ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.
Huna cha kumfanya au kumfanyia mwanamke ili akupende. Mwanamke anatakiwa akupende yeye na siyo umpende wewe.
Akikupenda atakuvumilia kwa yote. Lakini kama anao mpango mbadala, UTALIA na kuyasaga meno.
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.

Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Nakukatalia ww huna pesa, huna mashiko au ushawishi pia huna nyota ya kuogopeka hii inaendana na watu wasiojiamini jikubali jiamini
Mwanzo nilioa darasa la saba lakini alikuwa mburula na USHENZI mwingi nikafanya mabadiliko mwaka wa 10 sema ukiwa rofa mke anakuwa mjanja mjanja ukiwa mjanja mke anakuwa rofa hakikisha mapenzi hayakuendesh
 
Tofautisha ELIMU na akili.

Mtu mwenye akili anaakili tuu hata kama hajasoma.

Kuna kakaangu yeye darasa la saba lakini kaoa mtu wa degree. Bro yupo smart Sana kichwani.
Na mkewe hamsumbui.

Sasa wewe kama unadegree alafu mke wa degree anakusumbua mwenye shida ni wewe.

Mwanamke ni mwanamke tuu.

Onyesha unamtaka sio unamhitaji. Hiyo ni KANUNI Moja.
Onyesha kuwa yeye ndiye anabahati kuwa na wewe na sio wewe unabahatk kuwa naye. Hiyo ni KANUNI ya pili.

Tatizo Linakuja pale mwanamke unapomuoa alafu anakuona wewe ndiye umebahatika kuwa naye. Hapo lazima akusumbue.
Noted
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Hapo boda boda anajilia mzigo kiulaiiiiiiini
 
Ukitaka mke awe ni WA nyumbani, akusogezee maji kwani yeye hajachoka? Na yeye ametoka kazini amechoka, hao Wana mission zao humuwawezi, wanaume oeni mhudimie familia zenu, hivi hata wivu hamna? Yote naacha nasema Moja tu, hivi wake zenu wakienda kazini Wana usafiri wao au huu wa mwendokasi wa kubambiana? Mke wangu hawezi enda kubambiwa kwenye mwendo kasi hata siku Moja, kwa njaa ipi? Hapana.
 
hasty Generalization

Hii hutokea pale mtu anapotoa hitimisho au maoni kwa kutumia uzoefu ama taharifa dhaifu au zilizofanywa na kundi la watu wachache.
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
IMG-20241212-WA0122.jpg
 
Kazi mwanamke anayofanya inaweza kumfanya kuwa mke bora au wa hovyo. Mfano Bankers ni wanawake wa hovyo lakini Walimu ni wanawake bora.
Angalia viongozi au watu waliofanikiwa kama kuna aliyeoa banker
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom