Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Kama mkeo kaajiriwa na kuna huduma anatoa hela yake kwa ajili ya mahitaj ya familia,huyo sio mke ni mwanaume mwenzio

Hvyo usitegemee akufanyie kila kitu
 
Hiyo ni tabia binafsi ya mtu, mbona mimi naishi vizuri tu na FaizaFoxy na ni msomi, hivi nikifika nyumbani jioni hii nakuta juice baridi ipo kwa bedside table
Huyu ni mchaa Mungu ndo maana unaejoye mke wakiuslamu anae jitambua ni tofauti na wake wengine mkuu
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Hawa wanawake tumewachekea sana now wananza cheza na pumbuz zetu.
Tunatakiwa tuwa-taliban tuu hawa
 
Mwanamke anamsumbua mwanaume asiyempenda na asiyemhitaji.

Pia anamsumbua mwanaume mwanaume ambaye huyo mwanaume anamhitaji mwanamke badala ya Kumtaka Mwanamke.

Mwanamke anakuwa anautii KW mwanaume anayempenda
Lakini kwa mwanaume ambaye haogopi kumuacha Muda wowote.
Lakini ukionyesha kuhofia kumpoteza mwanamke lazima akusumbue.
Vp mkuu Gari ya shem umeshanunua? Au umeamua kuandika aya 20?
 
Mie ninaye la saba ana utii Kila kitu fresh Ila nahitaji wa degree ili nifanye adventure ya life hili.
I need a woman having bachelor degree Tena akiwa mchaga itapendeza mno.
Awe daktari ama engineer,or business finally lawyer nazipenda mno hizi professional
Mkuu njoo tubadilishane huyu wakwangu nakuachia kama huyu wa darasa la saba umri haujaenda sanaa, ana degree mbili take home 1.8m watoto 4, mmchame njoo tubadilishane, mimi ntapiga sound akubali tu.
 
Kadri Ke anavyopata zaidi pesa, elimu, marafiki, umaarufu, vyeo ndivyo aanavyodhihirika kitabia ni yeye pekee ndiye aliyewahi kuongea na Shetani bustanini Eden.

Si kila siku Me hulalamika mitandaoni kuwa hawaoni pesa za Ke kabisa ktk ndoa zao kwa kujenga familia bora, pesa zao huenda wapi?

Poleni sana Marioo mliopumbazwa kulelewa na Ke kwa fedheha na masimango tele kisa six packs, u-handsome boy na mapenzi ya wafilipino ilihali nyuma ya pazia Ke huwaona sawa na mizukule tu.

Extrovert, Bush Doctor, Painkiller etc...njooni muokoe akina Juniors wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kuna mmoja Bro alivuta baada ya kupiga chini wanawake kibao,akajipata akachukua kifaa pale loan Board,Bro kavuta Fuso tatu zinalaza laki nne na nusu kwa kusomba mchanga,yule mhehe sijui alifanyaje bwana bro Yuko wheeled toka siku Brazil alipopigwa saba na Germany mpaka Leo hajawahi simama,Hawa watu Mimi Huwa nawaita wadudu,ni wasumbufu bila formula,
The bad news nikachukua opposite na bro na bado napewa mgao wa kila huduma kuliko Tanesco yetu,sasa sijui Mimi na bro nani kala chuma ulete,Mimi hata Mbeya nikienda wifi zake wanasema hivi huyo ndo anakusumbua kimoyomoyo nasema Bora Mimi sio Bro alopigwa K Jin K O,hii Dunia Haina huruma na yeyote anaekosea maamuzi
 
Nikipata nafasi tena bora nioe mke wa darasa la saba au form four failure, mtiifu na mnyenyekevu kwa mume kuliko kuoa mke mwenye kazi yake wa degree.

Unatoka kazini umechoka unamuomba hata glass baridi ya juice upoze kidogo uchovu ila anakusontea na mdomo kwenye friji, nakukusindikiza na maneno haya: “huna mikono?”

Sasa hivi nimeanza kujua kwanini maraisi wa nchi za Africa wengi wake zao ni waalimu wa shule za msingi. Nilikosoa sana professor moja wa chuo kikuu aliyedivorce mkewe ambaye ni Daktari na kuoa maid wake. Tulimuona kama kichaa kumbe akili alikuwa nazo.
Hatimaye umembwaga yule Mke wako anayekulazimisha upeleke watoto clinic na akikasirika anavunja simu yako?
 
Ni mke wako mkuu, ana mentality za kipumbavu..

Wapo walioajiriwa na ni wake za watu lkn wana utii wa hali ya juu kwa waume zao...

Mke hata kama awe hajaajiriwa, kama hana ile urge ya kujifeel good and proud anapomhudumia mume wake, basi utapata shida sana, atakuwa anaona kama kukupa heshima yako baba mjengo ni kero kwake.
huyu ni mhanga,tupe ushahidi kutoka kwako, usiseme ya wengine huyajui kwa undani.
 
Unaweza Kutana na huyo unaefkiria atakutii, mambo yakawa yaleyale ..cha msingi SI LAZIMA UOE
 
Jitahidi umzidi kipato mke/mchumba wako,hii inasaidia sana.
Japokuwa sio guarantee ya ME kuheshimiwa.
 
Ni mke wako mkuu, ana mentality za kipumbavu..

Wapo walioajiriwa na ni wake za watu lkn wana utii wa hali ya juu kwa waume zao...

Mke hata kama awe hajaajiriwa, kama hana ile urge ya kujifeel good and proud anapomhudumia mume wake, basi utapata shida sana, atakuwa anaona kama kukupa heshima yako baba mjengo ni kero kwake.
Lakini kwanini umtume mtu akuletee maji wakati wote mmerudi kazini mmechoka?
 
Ila kusoma na kuajiliwa huchochea mwanamke kua na kiburi kua mvivu kwa mme wake huanza kulinganisha workmate pomoja na boss wake, hata kama tabia ya umalaya hakua nayo anaweza kujifunza haraka.
Fanya utafiti wa wanawake wanaopendwa na waume wenye uwezo, utagundua wanawake wanaokaa nyumbani walivyo Vimeo. Wanazini hata na ma-house boy. Tabia haina mahusiano na Kabila, kazi, dini au itikadi. Malaya ni yeyote.
 
Back
Top Bottom