Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na kufumbiana fumbiana macho " funika kombe mwanaharamu apite" huyu ni wa chama changu au huyu mpinzani mwenzangu, jambo litakalokua na mashiko hapo ni huyu ni mzalendo, ana uwezo,Sifa, vigezo, weledi na utayari wa kutumika nchi? Wala sio mfumo wa Chawa na wafia chama kama ilivyokua Sasa