kruzostom
JF-Expert Member
- Sep 6, 2024
- 310
- 419
Upo kinyume na CCm?Sijakuekewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kinyume na CCm?Sijakuekewa
Niko kinyume na wasiojulikanaUpo kinyume na CCm?
Nyalali commission ilikua ni zaidi ya 30 years now mambo yebadilikaMkuu unapingana na nyalali commission.
Anyway Lucas Mwashambwa atakuwa amefurahishwa mno na hii post yako
🤣🤣 ila CCM mbele kwa mbel cioNiko kinyume na wasiojulikana
Wanaji mbele mbele kwa kuiba kura, kwa uchaguzi wa hila, (wa kitapeli), na kuumiza watu wengine hadi kupoteza uhai🤣🤣 ila CCM mbele kwa mbel cio
Bora turudi mfumo wa chama kimoja hizi kadhia nyingine za watu kuumia na kupoteza maisha nyakati za chaguzi zipungue. Kiukweli hatuna ustaarahu na mfumo wa vyama vingi, ni mpaka tustaarabike kwanza.Ninakubaliana na wewe mkuu. Lakini hata tukiwa na chama kimoja, je tunaweza kukwepa neo collianism. Wachina wameweza kutokana na kuwa serious kwenye mambo yao. Sisi tunaendekeza mno uvivu, wizi, uasherati, uchawi na uchawa. Haya ndiyo magonjwa yetu ambayo yanatufanya tusipate maendeleo.
Tatizo ina watu wengi pia wanaohusika na zile kura ujue hawana vyamaWanaji mbele mbele kwa kuiba kura, kwa uchaguzi wa hila, (wa kitapeli), na kuumiza watu wengine hadi kupoteza uhai
Kigoma aliyeshinda wa ACT analazimishwa apewe kadi ya CCM
Wananchi inatakiwa wachague watu wanao waamini na kuwapenda na siyo vinginevyo
CCM wana mambo ya aibu sana na kufedhehesha,
Tatizo hicho chama kimoja mnacholazimisha hakitakiwi na wananchi wengi hasa vijana. Kwanini humo ndani ya hicho chama kimoja msichague viongozi wanaotakiwa na wengi, au kwakuwa mnashindana na upinzani inabidi mchague viongozi wabovu?!Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na kufumbiana fumbiana macho " funika kombe mwanaharamu apite" huyu ni wa chama changu au huyu mpinzani mwenzangu, jambo litakalokua na mashiko hapo ni huyu ni mzalendo, ana uwezo,Sifa, vigezo, weledi na utayari wa kutumika nchi? Wala sio mfumo wa Chawa na wafia chama kama ilivyokua Sasa
Ww lazima utakuwa ni mzee, wazee ndio huwa wana porojo hizi. Hapa Tanzania mikataba yote ya raslimali imeingiwa na chama kimoja bila kujali hao wapinzani. Najiuliza wazungu wanakosa nini hapa nchini hadi wahitaji hao mercenaries?So huoni multi-partism inatumika na wazungu kupandikiza mercenaries (Mamluki) kwenye uendeshaji wa nchi kwa maslahi Yao, Neo- Colonialism hii ndio maana naona mfumo wa single party wa China upo sawa sana
Hapo ndipo neno la uchafuzi huru lina wakilisha vizuri sura hiyo badala ya kuitwa uchaguzi huru, uchaguzi huru VS uchafuzi huru.Tatizo ina watu wengi pia wanaohusika na zile kura ujue hawana vyama
Haya yote yanasababishwa na hawo watowa misaada wanataka tuwe na mfumo wa vyama vingi ili watupe misaada lakini hawaaainishi ni upinzani upi wanataka ili watowe misaada yao hapo ndio ccm wanapatumia kuweka mapandikizi ya vyama kuwahadaa watowa misaadaNi Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na kufumbiana fumbiana macho " funika kombe mwanaharamu apite" huyu ni wa chama changu au huyu mpinzani mwenzangu, jambo litakalokua na mashiko hapo ni huyu ni mzalendo, ana uwezo,Sifa, vigezo, weledi na utayari wa kutumika nchi? Wala sio mfumo wa Chawa na wafia chama kama ilivyokua Sasa
Huo ni mtazamo wako brother, ila hujanielewa kabisa nilichokimaanishaWw lazima utakuwa ni mzee, wazee ndio huwa wana porojo hizi. Hapa Tanzania mikataba yote ya raslimali imeingiwa na chama kimoja bila kujali hao wapinzani. Najiuliza wazungu wanakosa nini hapa nchini hadi wahitaji hao mercenaries?
Kuwa wazi tu uona aibu jinsi ccm inavyonajisi uchaguzi kwa kushindwa kushindana, sasa unatamani kibaki chenyewe kuepuka aibu ya kushindwa kwenye box la kura.
Kwamba umeongea kitu kigumu sana ama?Huo ni mtazamo wako brother, ila hujanielewa kabisa nilichokimaanisha