Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Kuna faida gani sisi kuwa na wanyama pori ambapo wanasababisha mateso na hata vifo Kwa binadamu wenzetu?
Tunaiomba wizara husika, iendelee na mpango wa kuwauza na kusafirisha wanyama wetu kwenda huko wanakohitajika ili tu sisi tuwe salama!
Kwanza, tangu nimezaliwa sijawahi hata Kuonja utamu wa nyama ya twiga, na sidhani iwapo nitakuja Kuonja hii ladha ya nyama hiyo
Sasa, hawa wanyama wanafaida gani kubwa zaidi yenye kushinda uwepo wa mwanadamu?
Fedha...! Au siyo?
Hata hivyo, tumewahi kujiuliza, nchi ambazo hazina hifadhi za wanyama, wanapata wapi mapato ya kuwezesha nchi zao ziwe na maendeleo?
Kwa nini wanyama wawe bora zaidi kuliko mwanadamu mwenye thamani kubwa mbele za muumbaji!
Hao jamaa baada ya kusitishiwa kuuziwa wanyama ndio hiki kimezaliwa kuleta mateso Kwa binadamu?
Tafadhali bhana, wauzieni wanachokitaka bhana, amani yetu watuachie