Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

Walikuwa wanapata maelekezo kutoka kwa mungu wao
 
Umesahau pia kuna baadhi ya madc walikuwa wanatumika hovyo kama yule aliyeamua kuteketeza shamba la mbowe
 
Hao bado wapo ila muda wao umebakia kidogo maana wafadhili wao wamepigwa pini.
 
Chanjo zipo nyingi ila hii Astra Zeneca inalalamikiwa mara nyingi sana,umakini kwa watoa maamuzi ni muhimu, hasa kwa watafiti wetu, waende kwenye mataifa yalipata changamoto na kupata abcd
 
Ni kweli walimuita JK dhaifu tena ni yule mtoto ambaye JK anaweza kumzaa, amekuja Jiwe kaonyesha umwamba wanalialia, binadamu watu wa ajabu kabisa, huyu Mama Samia akicheka nao hawa ataingia nao chumban aendelee kuwapiga spana tu.
Hujielewi wewe sukuma gang
 
Kama hataki kushiriki uchaguzi akae pembeni, wengine watashiriki, ile ni kauli ya kiongozi wa Chadema, waendelee hivyo hivyo tuone nani ataumia
Hii nchi kuendelea kuwa na watu wa hovyo kama wewe kamwe hatuwezi kupiga hatua hata moja ya kimaendeleo
 
Wewe chagga gang mbona ripoti ya CAG inaonesha CHADEMA kuna madudu na mwenyekiti kapiga kimya kama hakuna yaliyotokea... Zile ruzuku ni mali ya umma, kwahyo ni wezi kama waizi wengine
 
Adui wa Wananchi ni Viongozi wa nchi, wao ndio wamefilisi wananchi tangu nchi imepata uhuru mpaka sasa Watu wanalia kwa kupoteza mali zao, mkoloni alikuwepo ila babu zetu walifanya biashara na wakawa na pesa wakachangishana wakapigania uhuru wakaupata serikali yao ikawafilisi, nani ni Mwenye makosa. chanjo hio sio ya kwanza, kwanini mpaka Leo hatuna wataalamu wakutengeneza chanjo? kama tuna wataalamu kwanini wasiifanyie hio chanjo uchunguzi ili ijulikane ni salama au sio salama na watoe taarifa rasimi kwa nchi na dunia? tuache chuki na uzembe wa ajabu ajabu.
 
Kwa hiyo hatutaki chanjo ili tuishi miaka 150,basi kwanini tuikatae ya corona wakati zingine kama kumi tunazipata kwa lazima .Tungeweza tungetengeneza yetu tuachane na tunaowaita mabeberu.

Shida yetu hatuwataki wenye upeo wakutuondoa kwenye mkwamo badala yake ,tunafurahi kudanganywa na wachache kwa maslahi yao binafsi.
 
Hii nchi kuendelea kuwa na watu wa hovyo kama wewe kamwe hatuwezi kupiga hatua hata moja ya kimaendeleo
Sasa kama hutaki unataka tukulazimishe, ukisusa wenzako wanakula, huu msemo mtauelewa vizuri 2025
 
Wewe acha ushamba subiri chanjo, kila kitu hamkosi kuleta siasa za kijinga sasa mna njia gani mbadala ya kupambana na Corona. Very hopeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…