ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Serikali wameridhika nazo kuwa faida zake ni nyingi kuliko hasara zake, hivyo hivyo ata hizo chanjo wakiridhika nazo wataruhusu, wakizikataa ata ubweke humu JF miaka 20 hupati kituMbona ARV mnameza?
Endeleaa kupiga ramliLazima ulinde kaburi
Ata nisipo fika , hakuna kitakacho badilika katika uongozi wa nchi hii , CCM itabaki Chama dume2025 utafika wewe?
Wivu tuNimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)
Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema ****, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.
Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.
Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)
Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.
Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.
Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Ole wako usiyeweza kutumia chembe ya akili yako. Tuna uhuru wa takriban miaka 60 sasa, serikali ya CCM imetuendesha riverse mpaka ikatufikisha karne tatu kabla ya uhuru unategemmea nini? Kazi porojo badala ya hoja zenye kutuunganisha kama taifa. Magufuli tutamkumbuka, ndiyo kwa mateso, utekaji, kunyonga haki za binadamu, unyanganyi wa mali za watu binafsi kunyume cha sheria, kupoteza watu (mifano yote unayo), wizi wa fedha za umma (rejea ripoti ya CAG), lakini siyo kwa mazuri. Najua hata wewe humpendi ila unafiki unakufanya uushuhudie uwongo mchana kweupe.Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)
Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema ****, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.
Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.
Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)
Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.
Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.
Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)
Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.
Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.
Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)
Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.
Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.
Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Siyo kutofautiana na mimi, kutofautiana na kila mwenye akili timamu aliyesikiliza hotuba ya Mbowe. Hapo ndipo utaahira wako ulipoanziaYaani mtu kutofautiana na wewe amekuwa tahiraaa? Dr Abbas aendelee na kazi yake, nyie mnataka uhuru wa kuongea lakini wengine wakiongea wamekuwa matahira
Wewe kama unamuona Mbowe kaongea points, usilazimishe kila mtu aone hivyo, na uwe tayari kukubaliana na jambo hilo, maana binadamu tunatofautiana, Mbowe kwako ni Kiongozi, lakini kwa mtu mwengine Mbowe ni mnafiki na mlafi wa madarakaSiyo kutofautiana na mimi, kutofautiana na kila mwenye akili timamu aliyesikiliza hotuba ya Mbowe. Hapo ndipo utaahira wako ulipoanzia
Taahira at his best, mnalipwa shilingi ngapi siku hizi? Maana kazi yenu imekuwa ngumu na bosi wenu Lumumba nani sasa?Wewe kama unamuona Mbowe kaongea points, usilazimishe kila mtu aone hivyo, na uwe tayari kukubaliana na jambo hilo, maana binadamu tunatofautiana, Mbowe kwako ni Kiongozi, lakini kwa mtu mwengine Mbowe ni mnafiki na mlafi wa madaraka
Umeshindwa kujadili hoja yangu, unaanza kuuliza visivyo kuwepoTaahira at his best, mnalipwa shilingi ngapi siku hizi? Maana kazi yenu imekuwa ngumu na bosi wenu Lumumba nani sasa?
Una hoja gani hiyo? Ungeanza kupangua hoja za Mbowe alizotoa jana halafu ujenge hoja yenu ya kumshambulia personally. Mna hoja gani yenye mantiki?Umeshindwa kujadili hoja yangu, unaanza kuuliza visivyo kuwepo
Hawa jamaa nahisi ni watu wasiotakia mema hii nchi na wamejaa ubinafsi sana, Mungu atulinde asee tunakoelekea ninaona giza tu.Yaani mtu kutofautiana na wewe amekuwa tahiraaa? Dr Abbas aendelee na kazi yake, nyie mnataka uhuru wa kuongea lakini wengine wakiongea wamekuwa matahira
Kwa hiyo yote aliyosema Mbowe, umeambulia hilo tu la chanjo? Kufungiwa na kuharibiwa biashara hujaona pa kusema hapo?Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)
Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.
Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.
Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)
Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.
Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.
Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Hakuna hoja aliotoa Mbowe zaidi ya malalamiko ya kila siku, wewe kama umeona kuna hoja pale pole sanaaaaaaaUna hoja gani hiyo? Ungeanza kupangua hoja za Mbowe alizotoa jana halafu ujenge hoja yenu ya kumshambulia personally. Mna hoja gani yenye mantiki?
Never argue with a fool he ll pull you down to his level and beat you with experienceHakuna hoja aliotoa Mbowe zaidi ya malalamiko ya kila siku, wewe kama umeona kuna hoja pale pole sanaaaaaaa
Mimi sielewi hii lugha, ebu andika kwa lugha ya Taifa, ila kwa hakika Mbowe ni mwanasiasa kama wengine, anaevutia maslahi yake na kaki kundi chake bhaasiiiNever argue with a fool he ll pull you down to his level and beat you with experience
Kikwete alisema akili za kuambiwa changanya na za kwako, sasa ewe hata za kumbiwa hujaelewa, na za kwako hazijatosha!! Melo ni Mtu mwema sana, watu wote anawaruhusu watumie huu uwanja hata kama wanacheza kombe la mbuzi!Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)