Natafuta point bado sijaipataNi kweli walimuita JK dhaifu tena ni yule mtoto ambaye JK anaweza kumzaa, amekuja Jiwe kaonyesha umwamba wanalialia, binadamu watu wa ajabu kabisa, huyu Mama Samia akicheka nao hawa ataingia nao chumban aendelee kuwapiga spana tu.
Hujapata point ni hivi, wakati wa Mzee JK hawa Chadema walisema Mzee JK ni dhaifu anacheka ovyo, hivyo nchi hii inahitaji mtu mkali sanaaaaaaa, amekuja JPM mkali wanalialia ohoooooo Rais amekuwa Dikteta, watu kama hawa ni kuwapiga spana huku unawaangalia, ni wanafiki sanaaaaaaa kama walivyomnafikia Mzee Lowassa kwa kumuita Fisadi baadae ghafla Kawa mgombea wa Urais, hapo vip umeipata point?Natafuta point bado sijaipata
Usibishane na mpumbavu, atakushusha chini kwenye level yake na atakushinda kwa uzoefu. Kama vile ulivyonishinda kwa uzoefu wa upumbavu ulionao na nimekubali kushindwa, mpumbavu mbobezi umeshinda banaMimi sielewi hii lugha, ebu andika kwa lugha ya Taifa, ila kwa hakika Mbowe ni mwanasiasa kama wengine, anaevutia maslahi yake na kaki kundi chake bhaasiii
Walisema wanataka mtu mkali.sio dikteta. Mbona mi nawaelewa sana.Hujapata point ni hivi, wakati wa Mzee JK hawa Chadema walisema Mzee JK ni dhaifu anacheka ovyo, hivyo nchi hii inahitaji mtu mkali sanaaaaaaa, amekuja JPM mkali wanalialia ohoooooo Rais amekuwa Dikteta, watu kama hawa ni kuwapiga spana huku unawaangalia, ni wanafiki sanaaaaaaa kama walivyomnafikia Mzee Lowassa kwa kumuita Fisadi baadae ghafla Kawa mgombea wa Urais, hapo vip umeipata point?
Muulize umwamba wake uko wapi? Hii dunia hainaga mwamba.Ni kweli walimuita JK dhaifu tena ni yule mtoto ambaye JK anaweza kumzaa, amekuja Jiwe kaonyesha umwamba wanalialia, binadamu watu wa ajabu kabisa, huyu Mama Samia akicheka nao hawa ataingia nao chumban aendelee kuwapiga spana tu.
Huo msimamo wa kufuata mkumbo ni wa kitoto kweli. Kama kweli hao wazungu wana mpango wa kukudhuru watashindwa kisa umekataa chanjo? Vp madawa tunayoagiza kutoka kwa mabeberu plus product nyingine? Wakati mwingine tumieni vichwa kufikiri.Sio kila chanjo unakubali kisa tu uliwai kukubali huko nyuma, watu hubadilika kila wakati
Walijiridhisha na ile ya Madagasca vp matokeo yake?Ndio maana serikali ipo makini haitaki makosa hayo yajirudie tena, hizi chanjo lazima wao serikali walidhike nazo kwanza ilo halizuiliki
Mtachanjwa hata kwa viboko. Mimi serekali yenu sikivu nimesharidhika.Serikali wameridhika nazo kuwa faida zake ni nyingi kuliko hasara zake, hivyo hivyo ata hizo chanjo wakiridhika nazo wataruhusu, wakizikataa ata ubweke humu JF miaka 20 hupati kitu
Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)
Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.
Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.
Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)
Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.
Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.
Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Nashauri turudi shule tujifunze namna ya kujernga hoja intelligently/critically/smartly. Ni aibu kubwa!Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)
Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.
Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.
Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)
Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.
Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.
Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Au kama wote wenye malaria na waliotumia dose ya malaria walipona wote.Sawa wamekufa 4000 wangapi wamepona,mbona hujataja.
Freeman=Freemason so sishangai lolote analofanya.That is what he is,an evil man.Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)
Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagFreemason,kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.
Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.
Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)
Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.
Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.
Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)
Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.
Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.
Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)
Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.
Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.
Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Nyani unamjua? huyu kiumbe ni wa ajabu sana, huwa akipita Nyani mwenzake anamcheka ile ngoko makalioni, bila ya kujua kuwa yeye anayo ngoko kubwa kuliko yule anayemcheka, na mimi na kuacha kama ulivyo, umeonyesha unatabia zote za NyaniUsibishane na mpumbavu, atakushusha chini kwenye level yake na atakushinda kwa uzoefu. Kama vile ulivyonishinda kwa uzoefu wa upumbavu ulionao na nimekubali kushindwa, mpumbavu mbobezi umeshinda bana
JPM alikuwa mkali wala hakuwa dikteta, maana alikuwa pale ikulu kwa mujibu wa sheria, pale Chadema watu wana ndimi mbili ukiletewa maneno waliosema Lowassa alipokuwa ccm, ni tofauti na waliosema lowassa alipokuwa mgombea wao, cha ajabu eti nao wanawaita wengine ni wanafiki hatari sanaaaaaaaWalisema wanataka mtu mkali.sio dikteta. Mbona mi nawaelewa sana.
Muulize Mbowe anajua umwamba wa JPM, hiki kilichomtokea hakuwai kuwaza katika maisha yake, wewe ujamsikia akisema Never and Never againMuulize umwamba wake uko wapi? Hii dunia hainaga mwamba.
Kosa moja aliondoi kosa jingine, usalama wa raia ni kazi ya Serikali, hawa waliwai kututawala na kutufanya kama wanyama, tunayo haki ya kujiridhisha , ndio maana kuna taasisi zenye wataalamu kwa ajili ya kazi hizo, wewe kama unaona tunachelewa nenda KenyaHuo msimamo wa kufuata mkumbo ni wa kitoto kweli. Kama kweli hao wazungu wana mpango wa kukudhuru watashindwa kisa umekataa chanjo? Vp madawa tunayoagiza kutoka kwa mabeberu plus product nyingine? Wakati mwingine tumieni vichwa kufikiri.
Serikali ilipitisha dawa za kutumia kutoka kwenye tiba asili na mwongozo waliutoa, kama haujaiona hapo ujue majibu yake hayaridhishiWalijiridhisha na ile ya Madagasca vp matokeo yake?
Endeleaa kuota, Korona hapa bongo sio tatizooo, tunaishi nayo tu, soko la barakoa hapa hakunaMtachanjwa hata kwa viboko. Mimi serekali yenu sikivu nimesharidhika.