Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Sitokosa game yao hata moja msimu huuHawa jamaa wanauwasha sio poa
Hamia tu, ulikuwa hazard cfc sasa hivi ushakuwa pulisic cfcSitokosa game yao hata moja msimu huu
WashajinyeaKwani ngap ngap huko
Unataka nijiite jina la mchezaji ambae hayupo timu yangu?Hamia tu, ulikuwa hazard cfc sasa hivi ushakuwa pulisic cfc
Pep ni genius kwenye mpira kila mchezaji kabadilishwa tofauti na alivyokuwaNi Kweli
lakini hilo soka tamu lina watu wake sio tu kumfanya mchezaji acheze soka la aina hiyo, bali inategeama na player mwenyewe anaweza soka la aina gani..
thats alipokuja akafumua kikosi nusu chotee. na kuanza kusajili upya. Kuhusu sterling ni kweli kaongezewa makali na pep.. ila alikuwa player mzuri toka alipokuwa liver!
nae benardo alichukuliwa akiwa kwenye ubora wake na sio kwamba huko monaco alikuwa wa kawaida. nafkiri mnaikumbuk ile monaco ya kina mbappe,bakayoko,mendy,lemar. ilivyotesa kabla kina kina pep hawajaja kufumua kikosi kile..
all in all pep ni kocha!
mbona maguire kaitosa city tena kwa mshahara mnono ambao hakuna beki duniani anaelipwa na kaenda sajiliwa united.......united itabaki kuwa united milele.....ok fine 2-2 full timePep ni genius kwenye mpira kila mchezaji kabadilishwa tofauti na alivyokuwa
Hata Aguero siku hizi anahold mipira [emoji23][emoji23]
Swala kusema alibomoa kikosi huko ndo kujua kwenye sasa kwamba anauwezo wa kujenga kwanzia msingi hadi fence
Pep kabadilisha kila kitu England
England ilikuwa haitumii pesa kununua wachezaji lakini kwa sasa hata Everton inaingia sokoni ili angalau iweze kuhimili League
Pep kaifanya Man City ivutie wachezaji duniani
Zamani ilikuwa kucheza Man United ni ndoto lakini kwa sasa mchezaji kuchezea City ni ndoto kama kwenda Barcelona au Real Madrid
Pep anafanya hata uwe na njaa usahau kama unaangalia mpira wake..
Kocha Pekee ambaye Team pinzani zinajiandaa kupambana angalau kutoa sare au kufungwa goals chache
Kwa sasa ukiifunga City imekuwa moja mafanikio kwa team za EPL [emoji23][emoji23]
City ya kumtegemea Aguero imekufa kwa sasa akitoka jiwe anaingia chuma [emoji23][emoji23]
Utasikia Pep anasajili wachezaji wazuri hahahahah kwani Team zingne haziwaoni hao wazri...
Ukweli ni kwamba Pep anaujua mpira tena sio tu wa maneno ila na vitendo [emoji23][emoji23]
kumbe city kadroo? hahaha jamaa alivyompamba sasa..mbona maguire kaitosa city tena kwa mshahara mnono ambao hakuna beki duniani anaelipwa na kaenda sajiliwa united.......united itabaki kuwa united milele.....ok fine 2-2 full time
Maneno yote hayo utafikiri huwa hatuwaoni uefaPep ni genius kwenye mpira kila mchezaji kabadilishwa tofauti na alivyokuwa
Hata Aguero siku hizi anahold mipira [emoji23][emoji23]
Swala kusema alibomoa kikosi huko ndo kujua kwenye sasa kwamba anauwezo wa kujenga kwanzia msingi hadi fence
Pep kabadilisha kila kitu England
England ilikuwa haitumii pesa kununua wachezaji lakini kwa sasa hata Everton inaingia sokoni ili angalau iweze kuhimili League
Pep kaifanya Man City ivutie wachezaji duniani
Zamani ilikuwa kucheza Man United ni ndoto lakini kwa sasa mchezaji kuchezea City ni ndoto kama kwenda Barcelona au Real Madrid
Pep anafanya hata uwe na njaa usahau kama unaangalia mpira wake..
Kocha Pekee ambaye Team pinzani zinajiandaa kupambana angalau kutoa sare au kufungwa goals chache
Kwa sasa ukiifunga City imekuwa moja mafanikio kwa team za EPL [emoji23][emoji23]
City ya kumtegemea Aguero imekufa kwa sasa akitoka jiwe anaingia chuma [emoji23][emoji23]
Utasikia Pep anasajili wachezaji wazuri hahahahah kwani Team zingne haziwaoni hao wazri...
Ukweli ni kwamba Pep anaujua mpira tena sio tu wa maneno ila na vitendo [emoji23][emoji23]
Mimi sio shabiki wa cityIpo wazi kwamba mashabiki wa Man city ni mashabiki waliokuwa wanashabikia Chelsea. Sishangai.[emoji23]
Niliona walipotea secnd half...ila wanakosa sana magoli aisee,game moja wanapiga attempt 25Mbona gemu ya liva tuliwatuliza ?