Ni burudani sana kuingalia Manchester city

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Pep Gurdiola. Huyu ni genius kamfanya KDB na Sterling kuwa watu hatari mnoo, ukimwangalia Kevin unaweza kujihisi ni unamwangalia mchezaji bora duniani 3 times.

Raheem ndio Messi mchanga pale EPL anauchakata mpira wa miguu kuwa rede, bwana mdogo hakamatiki tena.
Bernado huyu ndiYo balaaa zaidi.

Mimi ni shabiki wa Chelsea lakini nasema Man City ndio team inayotoa burudani kwa sasa kuliko timu yoyote.
 
Upo sahihi mkuu,jamaa mpira wake ukiangalia ni burudani sana.@Pulisic CFC
 
Ni Kweli

lakini hilo soka tamu lina watu wake sio tu kumfanya mchezaji acheze soka la aina hiyo, bali inategeama na player mwenyewe anaweza soka la aina gani..

thats alipokuja akafumua kikosi nusu chotee. na kuanza kusajili upya. Kuhusu sterling ni kweli kaongezewa makali na pep.. ila alikuwa player mzuri toka alipokuwa liver! nae benardo alichukuliwa akiwa kwenye ubora wake. na sio kwamba huko monaco alikuwa wa kawaida. nafkiri mnaikumbuk ile monaco ya kina mbappe,bakayoko,mendy,lemar. ilivyotesa kabla kina kina pep hawajaja kufumua kikosi kile..

all in all pep ni kocha!
 
Hamia tu, ulikuwa hazard cfc sasa hivi ushakuwa pulisic cfc
Unataka nijiite jina la mchezaji ambae hayupo timu yangu?

Na inamaan ukipenda mpira wanaocheza wapinzani lazima uhamie timu hiyo?
 
@Pulisic CFC,
Ipo wazi kwamba mashabiki wa Man city ni mashabiki waliokuwa wanashabikia Chelsea. Sishangai.😂
 
Ni Kweli
lakini hilo soka tamu lina watu wake sio tu kumfanya mchezaji acheze soka la aina hiyo, bali inategeama na player mwenyewe anaweza soka la aina gani..

thats alipokuja akafumua kikosi nusu chotee. na kuanza kusajili upya. Kuhusu sterling ni kweli kaongezewa makali na pep.. ila alikuwa player mzuri toka alipokuwa liver!

nae benardo alichukuliwa akiwa kwenye ubora wake na sio kwamba huko monaco alikuwa wa kawaida. nafkiri mnaikumbuk ile monaco ya kina mbappe,bakayoko,mendy,lemar. ilivyotesa kabla kina kina pep hawajaja kufumua kikosi kile..

all in all pep ni kocha!
Pep ni genius kwenye mpira kila mchezaji kabadilishwa tofauti na alivyokuwa

Hata Aguero siku hizi anahold mipira [emoji23][emoji23]

Swala kusema alibomoa kikosi huko ndo kujua kwenye sasa kwamba anauwezo wa kujenga kwanzia msingi hadi fence

Pep kabadilisha kila kitu England

England ilikuwa haitumii pesa kununua wachezaji lakini kwa sasa hata Everton inaingia sokoni ili angalau iweze kuhimili League

Pep kaifanya Man City ivutie wachezaji duniani

Zamani ilikuwa kucheza Man United ni ndoto lakini kwa sasa mchezaji kuchezea City ni ndoto kama kwenda Barcelona au Real Madrid

Pep anafanya hata uwe na njaa usahau kama unaangalia mpira wake..

Kocha Pekee ambaye Team pinzani zinajiandaa kupambana angalau kutoa sare au kufungwa goals chache

Kwa sasa ukiifunga City imekuwa moja mafanikio kwa team za EPL [emoji23][emoji23]

City ya kumtegemea Aguero imekufa kwa sasa akitoka jiwe anaingia chuma [emoji23][emoji23]

Utasikia Pep anasajili wachezaji wazuri hahahahah kwani Team zingne haziwaoni hao wazri...

Ukweli ni kwamba Pep anaujua mpira tena sio tu wa maneno ila na vitendo [emoji23][emoji23]
 
mbona maguire kaitosa city tena kwa mshahara mnono ambao hakuna beki duniani anaelipwa na kaenda sajiliwa united.......united itabaki kuwa united milele.....ok fine 2-2 full time
 
kumbe city kadroo? hahaha jamaa alivyompamba sasa..
namsubiri tu uefa maana toka atoke barca uefa anaiskia kwenye bomba.
 
Pep ni genius kwenye mpira kila mchezaji kabadilishwa tofauti na alivyokuwa

Hata Aguero siku hizi anahold mipira [emoji23][emoji23]

Swala kusema alibomoa kikosi huko ndo kujua kwenye sasa kwamba anauwezo wa kujenga kwanzia msingi hadi fence

Pep kabadilisha kila kitu England

England ilikuwa haitumii pesa kununua wachezaji lakini kwa sasa hata Everton inaingia sokoni ili angalau iweze kuhimili League

Pep kaifanya Man City ivutie wachezaji duniani

Zamani ilikuwa kucheza Man United ni ndoto lakini kwa sasa mchezaji kuchezea City ni ndoto kama kwenda Barcelona au Real Madrid

Pep anafanya hata uwe na njaa usahau kama unaangalia mpira wake..

Kocha Pekee ambaye Team pinzani zinajiandaa kupambana angalau kutoa sare au kufungwa goals chache

Kwa sasa ukiifunga City imekuwa moja mafanikio kwa team za EPL [emoji23][emoji23]

City ya kumtegemea Aguero imekufa kwa sasa akitoka jiwe anaingia chuma [emoji23][emoji23]

Utasikia Pep anasajili wachezaji wazuri hahahahah kwani Team zingne haziwaoni hao wazri...

Ukweli ni kwamba Pep anaujua mpira tena sio tu wa maneno ila na vitendo [emoji23][emoji23]
Maneno yote hayo utafikiri huwa hatuwaoni uefa
 
Waache kusajili kwa mapesa mingi mingi kila mwaka sababu hata bila ya usajili ni wao ndiyo wanaongoza kwa kikosi kikubwa na bora ndipo nitawapenda.
 
Back
Top Bottom