Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k?
Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja. Kwa nini vyama vya upinzani havivutii wagombea wenye sifa za ufhamu? Je, ni woga wa wagombea na kulazimika kujikomba chama tawala? Au Wagombe ndani ya CCM wnaigiza upendo kwa chama kwa sababu zao binafsi?