Uchaguzi 2020 Ni CCM kila kona, Wagombea Vyama vingine wako wapi?

Uchaguzi 2020 Ni CCM kila kona, Wagombea Vyama vingine wako wapi?

Wachina wametuletea tabu sana. Kuwa Tsh50,000 unapata smart phone basi imekuwa matatizo makubwa. Kila mtu mwenye uoumbavu wake anautapika hapa JF. Mimi personally imefika wakati naweza kuperuza ukurasa wote wa siasa bila ya kupata thread ya maana ya kusoma siku hizi. Huenda wewe uliyeandika utumbo huu pengine umekuja mjini kusukuma trolley la kuuza parachichi!
 
Back
Top Bottom