Binafsi nakushangaa wewe unayeshangaa uwepo wa hali hiyo.Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k?
Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja. Kwa nini vyama vya upinzani havivutii wagombea wenye sifa za ufhamu? Je, ni woga wa wagombea na kulazimika kujikomba chama tawala? Au wagombe ndani ya CCM wnaigiza upendo kwa chama kwa sababu zao binafsi?
Kapime Kwanza macho,Kama huoni wabunge wa vyama vingine Basi ninkwa sababu unachagua taarifa za kuona na kusikia,ungekuwa hubagui ungeshasikia kazi kwako
Hilo nalo lipo maana dalili sishaanza kuonekanaSo mkuu, kuna uwezekano hao wengine wanasubiria makapi ya ccm?
Unataka wafanyeje kika cha zitto tu cha ndani zimeenda deffender 4 na silaha za moto alafu bila aibu tunaambiwa walikuwa wanaandamanaNaangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k.?
Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja. Kwa nini vyama vya upinzani havivutii wagombea wenye sifa za ufhamu? Je, ni woga wa wagombea na kulazimika kujikomba chama tawala? Au wagombe ndani ya CCM wnaigiza upendo kwa chama kwa sababu zao binafsi?
thibitisha hao wagombea 500Wanatafuta wagombea bado hawajapata cuf wabunge wote wamekimbia Cha Domo wabunge karibia wote wamekimbia act ndio Ina waandaa wabunge wa cuf walio hamia hapo CCM ndio baba Lao kina Jimbo Kuna watia Nia karibu 500 kwa hiyo usivishangae vijisaccos kuwa bado wanasuasua ikifika mda tutawajua wasindikizaji wao wa nafasi za ubunge