Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 593
- 611
CHADEMA katika masuala ya TEHAMA bado wako nyuma sana.Tukiwa wadogo tulionywa na wazazi pamoja na jamii kuwa katika jambo lolote ni lazima ujipange ili ufanikiwe na waswahili wakaongeza kwa kusema "Asiyekubali kushindwa si mshindani." CHADEMA wamekuwa wakisahau methali hii ya wahenga na kuwa wahanga katika mengi kwa sababu Chama
Huu ni ukweli ambao CHADEMA wanatakiwa kuambiwa.CHADEMA katika masuala ya TEHAMA bado wako nyuma sana.
Wanatakiwa kujitafakari na kuweka vizuri mambo.
Siasa inahitaji maandalizi mazuri na sio kumtangazia vita mshindani wako bila kujua amejipangaje.
Kazi IendeleeHuu ni ukweli ambao CHADEMA wanatakiwa kuambiwa.
CCM iko mbali sana katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
Watasubiri sana.
Tufanye kazi kwa maendeleo ya nchi yetu.Kazi Iendelee
Sio CCM sema TISSHuu ni ukweli ambao CHADEMA wanatakiwa kuambiwa.
CCM iko mbali sana katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
Watasubiri sana.
Mkuu TISS wanahusika vipi katika suala hili? Maana TISS wako Serikalini na CCM inajitegemea katika kufanya kazi kupitia watumishi wake wa CCM.
Mbowe alitaka kujiweka juu ya CCM bila kujua kuwa CCM iko juu kila wakati. Pale CHADEMA wanaamkia leo CCM ilishapita hapo miaka mitatu iliyopita.ccm iko juu mbowe asubiri sana mpaka atastaafu
Acha kulazimisha separation ambayo haiyoMkuu TISS wanahusika vipi katika suala hili? Maana TISS wako Serikalini na CCM inajitegemea katika kufanya kazi kupitia watumishi wake wa CCM.
Tukiwa wadogo tulionywa na wazazi pamoja na jamii kuwa katika jambo lolote ni lazima ujipange ili ufanikiwe na waswahili wakaongeza kwa kusema "Asiyekubali kushindwa si mshindani." CHADEMA wamekuwa wakisahau methali hii ya wahenga na kuwa wahanga katika mengi kwa sababu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikishindana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia kwenye uchaguzi ili waweze kushika dola na masuala mengine ya kichama lakini katika yote CHADEMA imekuwa ikishindwa.
Mnamo tarehe 27/05/2021 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa katika uzinduzi wa operesheni haki jijini Arusha alijipata na kusema "Tunataka tuwaonyeshe CCM namna watu wanaweza kufanya kazi kisayansi. Tutafanya kazi kidigitali. Tunakwenda kutoa kadi mpya za Chama chetu, kadi za kidigitali. Tutakuwa na kadi za aina tano kwenye Chama chetu, utajipanga uwe na kadi ya daraja (level) gani."
Mbowe aliwaaminisha wanachama na wafuasi wa CHADEMA kuwa kazi imeisha na wameshaishinda CCM katika eneo hilo la kidijitali na kusahau kuwa wahenga walisema "Usilolijua ni usiku wa giza" na "Jambo la ukucha halichukuliwi shoka." CCM ilishaanza safari ya usajili wa kadi za kielektroniki kwa wanachama wake tangu mwaka 2018 na kupitia mfumo huo wa usajili mwanachama wa CCM anatambuliwa kwenye mtandao kuanzia shina, tawi, kijiji, kata, wilaya na mkoa anakotokea sambamba na taarifa nyingine muhimu kwa ustawi wa Chama Cha Mapinduzi.
Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM mnamo tarehe 08/07/2021 akiwa Sumbawanga mkoani Rukwa aliutaarifu umma wa watanzania kuwa CCM itaanza kutoa kadi za kielektroniki kwa wanachama mnamo mwezi wa nane (Agosti) mwaka huu (2021) na Makao Makuu ya CCM kadi hizo zitaanza kutolewa mwezi wa Saba mwishoni (Julai 2021).
CHADEMA imepigwa katika suala la kadi za kielektroniki na bado inapigwa katika suala la programu tumizi za Chama (CCM App Vs CHADEMA Digital), tovuti za vyama, kurasa na akaunti za mitandao ya kijamii.
Watanzania wote wanajua kuwa CCM inaanza na wengine wanafuata. Salamu hizi Freeman Mbowe amezipata kabla hajahamia kwenye lengo namba mbili (2) la CHADEMA SACCOS chini ya operesheni haki.
Siasa ni sanaa na siasa ni sayansi, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Kazi Iendelee.
View attachment 1857183
Mkuu CCM na TISS ni vitu viwili tofauti. TISS ni idara ya usalama wa Taifa na CCM ni chama cha siasa kama CHADEMA, CUF na TLP.
Asante mkuu ila Mkuu nafasi hizo nakuombea nawe uteuliwe.now wait to be appointed as a das or dc, message delivered
Hamna kitu kinaitwa ccm, bali kuna kikundi cha dola kinaitumia ccm kufanya siasa.Mkuu TISS wanahusika vipi katika suala hili? Maana TISS wako Serikalini na CCM inajitegemea katika kufanya kazi kupitia watumishi wake wa CCM.
Ukweli utabaki kuwa ukweli. Katika hili Mbowe alichemka sana.UPUUZI MTUPU!!
Mkuu CCM na TISS ni vitu viwili tofauti. TISS ni idara ya usalama wa Taifa na CCM ni chama cha siasa kama CHADEMA, CUF na TLP.
CCM ipo tangu 05/02/1977.Hamna kitu kinaitwa ccm, bali kuna kikundi cha dola kinaitumia ccm kufanya siasa.
Kwa hiyo ulinganifu wako unabeba ujumbe gani hasa.?Tukiwa wadogo tulionywa na wazazi pamoja na jamii kuwa katika jambo lolote ni lazima ujipange ili ufanikiwe na waswahili wakaongeza kwa kusema "Asiyekubali kushindwa si mshindani." CHADEMA wamekuwa wakisahau methali hii ya wahenga na kuwa wahanga katika mengi kwa sababu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikishindana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia kwenye uchaguzi ili waweze kushika dola na masuala mengine ya kichama lakini katika yote CHADEMA imekuwa ikishindwa.
Mnamo tarehe 27/05/2021 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa katika uzinduzi wa operesheni haki jijini Arusha alijipata na kusema "Tunataka tuwaonyeshe CCM namna watu wanaweza kufanya kazi kisayansi. Tutafanya kazi kidigitali. Tunakwenda kutoa kadi mpya za Chama chetu, kadi za kidigitali. Tutakuwa na kadi za aina tano kwenye Chama chetu, utajipanga uwe na kadi ya daraja (level) gani."
Mbowe aliwaaminisha wanachama na wafuasi wa CHADEMA kuwa kazi imeisha na wameshaishinda CCM katika eneo hilo la kidijitali na kusahau kuwa wahenga walisema "Usilolijua ni usiku wa giza" na "Jambo la ukucha halichukuliwi shoka." CCM ilishaanza safari ya usajili wa kadi za kielektroniki kwa wanachama wake tangu mwaka 2018 na kupitia mfumo huo wa usajili mwanachama wa CCM anatambuliwa kwenye mtandao kuanzia shina, tawi, kijiji, kata, wilaya na mkoa anakotokea sambamba na taarifa nyingine muhimu kwa ustawi wa Chama Cha Mapinduzi.
Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM mnamo tarehe 08/07/2021 akiwa Sumbawanga mkoani Rukwa aliutaarifu umma wa watanzania kuwa CCM itaanza kutoa kadi za kielektroniki kwa wanachama mnamo mwezi wa nane (Agosti) mwaka huu (2021) na Makao Makuu ya CCM kadi hizo zitaanza kutolewa mwezi wa Saba mwishoni (Julai 2021).
CHADEMA imepigwa katika suala la kadi za kielektroniki na bado inapigwa katika suala la programu tumizi za Chama (CCM App Vs CHADEMA Digital), tovuti za vyama, kurasa na akaunti za mitandao ya kijamii.
Watanzania wote wanajua kuwa CCM inaanza na wengine wanafuata. Salamu hizi Freeman Mbowe amezipata kabla hajahamia kwenye lengo namba mbili (2) la CHADEMA SACCOS chini ya operesheni haki.
Siasa ni sanaa na siasa ni sayansi, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Kazi Iendelee.
View attachment 1857183
Mkuu hapa unapotosha umma. CCM imesajiliwa kwa kuzingatia utaratibu wa vyama vya siasa. Kilishinda uchaguzi na kuunda dola (Serikali) kwa sababu vyama vya siasa hushiriki katika uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ili kushika dola.Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.