Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

majitu yasiyo na akili hua yanaandika mavi jamani

yaani ni kunuka kutupu humu
Mkuu weka hoja mezani. Mbowe alisema "Tunataka tuwaonyeshe CCM namna watu wanaweza kufanya kazi kisayansi. Lakini kazi hiyo hawaiwezi na tayari wameshashindwa vibaya maana CCM iko mbele yao kwa umbali mkubwa sana.
 
Kwa hiyo ulinganifu wako unabeba ujumbe gani hasa.?
Siasa ni sanaa na siasa ni sayansi. Viongozi wa vyama vya siasa wasishuhudie uongo kama Mbowe alivyofanya maana mpaka muda huu tayari CCM imeshamuonyesha jinsi ya kufanya kazi kisayansi kupitia TEHAMA.
 
Wewe ndiye unayechemka unakubali au unakataa?
Nakataa. Mbowe katika suala la TEHAMA alikuwa hajajipanga na alichukua maamuzi ya kutangaza kushindana bila kumjua mpinzani wake matokeo yake tayari ameshindwa mapema.
 
Genge la wahuni, majizi na mafisadi pia wauaji siyo chama wewe!!! Tia akili kichwani.
CCM Chama imara chenye viongozi wenye uzalendo wa kweli kwa watanzania. Siyo kama wale wanaotaka kushika dola halafu waweke madini na rasilimali za nchi hii rehani.
 
Mkuu CCM na TISS ni vitu viwili tofauti. TISS ni idara ya usalama wa Taifa na CCM ni chama cha siasa kama CHADEMA, CUF na TLP.
Unakiona CCM kipo sawa na vyama vya saisa ?

Mbona kipindi cha marehemu baadhi ya vikao vya chama vilifanyika ikulu?

Nenda tafuta clip ya Bashiru anasema watatumia dola kubaki madarakani utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siko hapa kubishana na wewe chama gani kinafanya kazi kisayansi

Chadema is ahead of yall by far!

Chadema hawana hata shilingi,ni watu tu na mapenzi yao na imani ndio unaifanya chadema ipo mpaka sasa!

Na usimfananishe Mbowe na ubongo wake na mataahira ya viongozi wenu wa hovyo waliopo CCM....eti uchafu kama Musukuma,kiongozi yule au taahira?
Mkuu haujatembea maeneo mengi. CCM iko mioyoni mwa watanzania fika katika vijiji na vitongoji uone.
Wananchi wana imani kubwa na CCM. Tembelea miji na majiji uone miradi inavyotekelezwa na wananchi wanaonyesha imani.
CHADEMA wana kelele nyingi sana. Wakiongea pale Twitter wanahisi siasa iko hivyo lakini CCM inapeleka maendeleo kwa wananchi na kutatua kero.
 
Mkuu hapa unapotosha umma. CCM imesajiliwa kwa kuzingatia utaratibu wa vyama vya siasa. Kilishinda uchaguzi na kuunda dola (Serikali) kwa sababu vyama vya siasa hushiriki katika uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ili kushika dola.
Kupotosha vipi,matendo,maneno ya kundi ama kikundi hutoa tafsiri ya wao ni nani,tena kwa majina yaliyo wazi na rasmi kabisa.
Nakataa. Mbowe katika suala la TEHAMA alikuwa hajajipanga na alichukua maamuzi ya kutangaza kushindana bila kumjua mpinzani wake matokeo yake tayari ameshindwa mapema.
Sawa alikuwa hajajipanga,Je agenda,zake za utetezi wa wa Tanzania,zinawafíkia walengwa ,haziwafikii,na je mafanikio ya ajenda hizo umeweza kuyaona au bado?wengine wanasema mahasimu Wanapigwa kwenzi za kidigitali,je hata hilo haulikubali?
 
Bila TISS hakuna CCM na bila Polisi hakuna CCM na bila TBC hakuna CCM na bila Ma RC ma DC na Ma Ded hakuna kitu kinaitwa CCM. TEHAMA ya CCM imelala hapo.
 
Mkuu CCM na TISS ni vitu viwili tofauti. TISS ni idara ya usalama wa Taifa na CCM ni chama cha siasa kama CHADEMA, CUF na TLP.
Hiyo ipo kwenye makaratasi tu, ila kivitendo TISS ni idara maalum kwa ajili ya kuilinda ccm na mali zake. Kama unataka kufahamu hili fanya utafiti wa hii idara inavyofanya kazi. Kushindana na CCM lazima uguse vyombo vya ulinzi na usalama hasa usalama na polisi.
 
Chama imara hakiogopi uchaguzi huru na haki wewe!!! Hakiogopi katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Chama imara hakifugi majizi, mafisadi, wahuni na wauaji. Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.

Chama i

CCM Chama imara chenye viongozi wenye uzalendo wa kweli kwa watanzania. Siyo kama wale wanaotaka kushika dola halafu waweke madini na rasilimali za nchi hii rehani.
 
CCM ipo tangu 05/02/1977.
Kikundi hicho kinaongozwa na nani? Maana CHADEMA nao wanafanya siasa.
washenzi wakubwa nyie hamna hata aibu, yan nyie hamtaki upinzani wafanye siasa et kisa mnajenga uchumi wakati huo huo nyie mnafanya siasa kisa tu mna dora.

Kama nyie ni wanaume ruhusuni upinzani wafanye siasa muone kama hamtokuja kushangaa.
 
Back
Top Bottom