Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

Mkuu fikra zako ni potofu. Tangu lini taasisi za umma zifanye kazi za vyama.
CCM imewekeza kwenye eneo hilo na azimio hilo lilitangazwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha Desemba 13,2016.
Mifano ipo ukitaka uione hapa ,utaipata tena ya kutosha.
 
Nile nini? Weka hoja yenye uzito sio kuuliza swali hasi.
Nimekuuliza umeshapata cha mchana? Huijui kesho yako hapo ulipo mamako ndio anailisha familia nzima dingi hata haeleweki sijui unapata wapi nguvu ya kuandika utumbo huu! Tafuta kazi kwanza muda haukusubiri
 
Mleta mada ametanua makalio kwenye keyboard kusifia ok hongera na ccm yenu aya kakojoe unawe mata.ko ulale
 
Chama imara hakiogopi uchaguzi huru na haki wewe!!! Hakiogopi katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Chama imara hakifugi majizi, mafisadi, wahuni na wauaji. Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
Mkuu uchaguzi ni huru. Vyama vya siasa vinashiriki kila wakati. Angalia hii orodha ya vyama katika uchaguzi huko Konde Pemba.

IMG-20210719-WA0061.jpg
 
Kama hospitali zinafanya mtu kubaki madarakani, basi makaburu wa Afrika kusini wangekuwa madarakani mpaka leo. Miaka 60 mko madarakani hajafanya hayo mambo leo ndio mnajifanya mtayaweza?
CCM inabakia madaraka kutokana na utendaji wake wenye kuvutia na ambao watanzania wanaona na wanaamini kuwa CCM inaweza.
Ajenda za vyama vya upinzani zimekuwa ni za kurukaruka tu. Hawana uelekeo juu ya kile wanachokiamini.
 
Wacha ujinga wewe!!! Uchaguzi ungekuwa ni huru unadhani ni kwanini uchaguzi wa 2020 Mkapa alitaka usimamiwe na Tume huru! Wapuuzi kama wewe ni hasara kubwa sana Taifa.

BA4F3982-8845-4E9B-AD93-FBD612F91FE6.jpeg


Mkuu uchaguzi ni huru. Vyama vya siasa vinashiriki kila wakati. Angalia hii orodha ya vyama katika uchaguzi huko Konde Pemba.

View attachment 1859704
 
Mkuu fikra zako ni potofu. Tangu lini taasisi za umma zifanye kazi za vyama.
CCM imewekeza kwenye eneo hilo na azimio hilo lilitangazwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha Desemba 13,2016.
Rejea kesi ya kutaka MaDed wasisimamie uchaguzi.
 
Mkuu fikra zako ni potofu. Tangu lini taasisi za umma zifanye kazi za vyama.
CCM imewekeza kwenye eneo hilo na azimio hilo lilitangazwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha Desemba 13,2016.
Hauna akili wewe ama mgeni hapa Duniani. RC na DC hawafanyi kazi za CCM
 
TEHAMA ya CCM ni wizi na kudhulumu mali. Wameiba viwanja vyote vya michezo.
 
CCM inabakia madaraka kutokana na utendaji wake wenye kuvutia na ambao watanzania wanaona na wanaamini kuwa CCM inaweza.
Ajenda za vyama vya upinzani zimekuwa ni za kurukaruka tu. Hawana uelekeo juu ya kile wanachokiamini.

Yaani kwa umasikini huu ndio wananchi wanaona ccm inaweza? Msingepora chaguzi waingie wengine ndio ungejua ni kwa kiwango gani mmechelewesha nchi hii.
 
Hii ni dhahania tu ya wanafiki wamekuwa wanasema baada ya kushindwa uchaguzi.
Nimeangalia hii Id yako, nimekuta ww ni wale wajinga waliosukumiwa mwaka jana humu ndani, baada ya ule uchaguzi wa kishenzi. Huna lolote ujualo zaidi ya kuongea utoto humu jukwaani na kuleta siasa mfu.
 
Maandishi yako haya yanapingana na hali halisi uijuayo,ndio maana maandishi yakagoma kuandikika hapo mwanzoni.
Changamoto ndoto katika reply za JF.
Ukweli unajulikana CCM iko imara na Serikali za CCM ni madhubuti.
 
Nimeangalia hii Id yako, nimekuta ww ni wale wajinga waliosukumiwa mwaka jana humu ndani, baada ya ule uchaguzi wa kishenzi. Huna lolote ujualo zaidi ya kuongea utoto humu jukwaani na kuleta siasa mfu.
Kujiunga mwaka jana sio hoja ya msingi. Na wala sijaletwa na mtu JF.
Pinga kwa hoja, nimewasilisha taarifa kama ambavyo CHADEMA walijisifu na kupewa majibu.
 
Yaani kwa umasikini huu ndio wananchi wanaona ccm inaweza? Msingepora chaguzi waingie wengine ndio ungejua ni kwa kiwango gani mmechelewesha nchi hii.
Mkuu hili suala la uchaguzi wamekuwa wakijificha hapo na nyinyi wafuasi pia; sio kwa Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla.
Andaeni ajenda msiwe wepesi wa kulaumu wakati kazi hamfanyi.
 
Kawaida uonevu unapozidi jiandae kwa lolote,kunyamnyamazisha anaeonewa ni bora ukaongeza nguvu kwenye kumwonea ,ila sii kumdhihaki.
Kila binadamu anatakiwa kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake. Mdude CHADEMA alitukana na kuonywa lakini hakuna anayezuia kukosoa.
Rais alieleza vizuri kuwa ukosoaji uwe na staha hata katika nyumba za ibada tunafundishwa.
 
Kujiunga mwaka jana sio hoja ya msingi. Na wala sijaletwa na mtu JF.
Pinga kwa hoja, nimewasilisha taarifa kama ambavyo CHADEMA walijisifu na kupewa majibu.

Peleka utoto mbali we dogo.
 
Mkuu hili suala la uchaguzi wamekuwa wakijificha hapo na nyinyi wafuasi pia; sio kwa Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla.
Andaeni ajenda msiwe wepesi wa kulaumu wakati kazi hamfanyi.
Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ila ww kwakuwa umemezeshwa upuuzi ili watoto wako waende choo, ndio unatapika huu ujinga hapa.
 
Peleka utoto mbali we dogo.
Nihukumu na kunipinga kwa hoja.
Hatuwezi tukajiunga Jamii Forums wote kwa mara moja na Muda utakao wewe.
Hisia zako hasi haziwezi kuishi kamwe.
 
Back
Top Bottom