Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

Me hata siendi mbali, hapa hapa Tzee tena Dzm,hapa hapa wilaya ya Kinondoni...
George Bantu ananitosha.....
 
Itakuwa.

Alafu umeongea hivyo nikakumbuka juzi nimekutana na kitoto sijui ni kagonjwa au ni kawaida tu!! Kana macho ya blue.


Aw!, yanakuwaga ya kipekee kwa kweli, zaidi kwa watu wenye asili ya Africa.
 
Siend hata mbali

Joket ananitosha yan
Light angepita hapa au
Kule celebrity jukwaaan
 


Huyu anaitwa Kelly Rowland toka kundi la destiny child tangu nikiwa mdogo nilikuwaga namzimiaa vibaya mpaka ikafikia kipind niko form two nikaamuandikia barua na kwenda kuipost nikitegemea atanijibu
 
Dah umeniwahi kinomanoma mkuu mondray.
Basi wacha nimchukue huyu
Inanna Sarkis(comedian)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…