Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Sikutesi jamani!!! Ni maisha tu!!!Wewe endelea kunitesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikutesi jamani!!! Ni maisha tu!!!Wewe endelea kunitesa
kumbe tupo wengi? mimi kifua kile kina nichanganyaHata mm
Sikuonei!!! Nakuepusha kuvumia moyo!!!Sasa kwann unanifanyia hivyo au hunjui kama unanionea
Itakuwa.Macho ya blue sijui katoa wapi, ama ni half white.
Itakuwa.
Alafu umeongea hivyo nikakumbuka juzi nimekutana na kitoto sijui ni kagonjwa au ni kawaida tu!! Kana macho ya blue.
Yaani nilishtuka nilivyomuona!!Aw!, yanakuwaga ya kipekee kwa kweli, zaidi kwa watu wenye asili ya Africa.
Huyu kila kitu kwake ni fake fake mpaka miguu ni artificialMange Kimambi
Mwandishi na mchambuzi wa mambo ya siasa tz
Mange Kimambi[emoji35] [emoji16] [emoji16]. Kibibi kile...Mange Kimambi
Mwandishi na mchambuzi wa mambo ya siasa tz
[emoji28] [emoji28] [emoji28] au joanita....haahahahahaha
umenikumbusha movie moja inaitwa fungu la kukosa
Hakika...mfalme wa moyo wangu Eli79Celeb wangu ni Patience123!!
Halafu aliyemuwahi ndo alikuwa manager wake, nadhan hata SEVEN naye atajiongeza kwa alikiba Kama manager wa Kelly RowlandKelly rowland.. ila ndio hivyo wamesha muwahi