Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

Jessica Alba AMECHEZA NIKITA..
Namkubali sana huyu binti jamaa... mashallaaaaah
duhhh mkuu hawa ndo watu wa kuteka sasa akirudi anachechemea na mimba huyu dem ni kazi alicheza film ingine inaitwa sleeping dictionary I wish I cud Justine bieber
 
kwa nini unampenda babu
ebu rud nyuma kdogo bas [emoji23]

Kwa sababu nataka kuzeeka mapema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loh.
Mleta uzi hajamaanisha kimapenzi.ila naon wewe unawza [emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️..

Ngoja nije na mwingine Lee Min Ho.(city hunter.dr Lee)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
bas nilivo kuona tuu nikaanza kuwaza [emoji173] [emoji173] [emoji173]

eeeh! uyu sasa umerud kdogo afadhali.
Denzel waachie kina Faiza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
bas nilivo kuona tuu nikaanza kuwaza [emoji173] [emoji173] [emoji173]

eeeh! uyu sasa umerud kdogo afadhali.
Denzel waachie kina Faiza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamatatizo wewe.
Ngoja aje arekebishe mwandiko wako kama umekosea.

Denzel baba sikuachi.yani huyu mtu nikikuta movie yupo lzm nikae kitako niiangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…