Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Salama Jabir natamani nimchungulie tu nijue kama na yeye huwa anaendaga mwezini kama wadada wenzie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu ufumuliwe marindaMe napenda nitoke na MKE wa MTU alafu tufumaniwe.
Ni dalili ya kuharishaKuchamba kwingi.... ......
Weeee nani arudi kulima, komaa humo humo.Nikikosa mme mji huu wa makondakta ni bora nirudi kijijini kulima
duhhh mkuu hawa ndo watu wa kuteka sasa akirudi anachechemea na mimba huyu dem ni kazi alicheza film ingine inaitwa sleeping dictionary I wish I cud Justine bieberJessica Alba AMECHEZA NIKITA..
Namkubali sana huyu binti jamaa... mashallaaaaah
Jamn kila atakaemtaja wake atupiemo na kapicha tuwaone[emoji125] [emoji125]
kwa nini unampenda babu
haya Denzel wangu huyoo![]()
kwa nini unampenda babu
ebu rud nyuma kdogo bas [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ebu acha utani basiNajua huyu ni rahisi kumpata wadau nisaidieni nimpate.
Namkubali Sana Recho kizunguzungu (THT )
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa sababu nataka kuzeeka mapema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loh.
Mleta uzi hajamaanisha kimapenzi.ila naon wewe unawza [emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️..
Ngoja nije na mwingineLee Min Ho.(city hunter.dr Lee)![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
bas nilivo kuona tuu nikaanza kuwaza [emoji173] [emoji173] [emoji173]
eeeh! uyu sasa umerud kdogo afadhali.
Denzel waachie kina Faiza