Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamatatizo wewe.
Ngoja aje arekebishe mwandiko wako kama umekosea.

Denzel baba sikuachi.yani huyu mtu nikikuta movie yupo lzm nikae kitako niiangalie
hahah
ndio maana nime muandika kiani
spendi shida now.

ila napenda Denzel vile huwa simple, jamaa yuko very humble yaan.
 
Enika, yupo wapi siku hizi huyu mrembo?
 
My one and only mahondaw... You are my celebrity bila kupepesa macho huku wala kule...

Nakapenda sana ka- mahondaw.. Love napenda unavyojiheshimu you make me be the real man...

And you make me the real woman .
Smart911 hakika wewe ni mwanaumeeee huna makuuu mtoto wa watu huna kukuru kakara unajitambua kiasi kwamba dahhhhhhhhhhh
I love you so much Smart911
 
hahah
ndio maana nime muandika kiani
spendi shida now.

ila napenda Denzel vile huwa simple, jamaa yuko very humble yaan.

Hahaha bora umejihami..maana.
Na avatar yako inaonyesha hupendagi shida

Yani hyo Denzel akiongea na kucheka mi hoi jmni
 
And you make me the real woman .
Smart911 hakika wewe ni mwanaumeeee huna makuuu mtoto wa watu huna kukuru kakara unajitambua kiasi kwamba dahhhhhhhhhhh
I love you so much Smart911
Hahaha... Thanks but am watching you very closely mahondaw... I might be calm and polite but my eyes are very open watching you my love... All because i love you mahondaw...
 
Nilimsahau na yule alokimbia bastora kasimamishiwa charinze sijui nani rapa
 
Kwa sababu nataka kuzeeka mapema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loh.
Mleta uzi hajamaanisha kimapenzi.ila naon wewe unawza [emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️..

Ngoja nije na mwingine
106bc64a39d3fd22f72983326542da89.jpg
Lee Min Ho.(city hunter.dr Lee)
Haka kaka ni kahb rips zake huwa zinanikwanyura akili
 
Back
Top Bottom