Ni celebrity yupi wa kike hapa Bongo ana mafanikio ya kimaisha yasio na chembe ya mawaa ili mabinti wengine wamwige.

Ni celebrity yupi wa kike hapa Bongo ana mafanikio ya kimaisha yasio na chembe ya mawaa ili mabinti wengine wamwige.

Jokate, Jacqueline mengi, na Dorice mollel anakujakuja
Jokate ila jacquline umekosea ananjaa hivyo mpaka kagandia mali za watu hivi unajisikiaje wazazi wa mtu wajinyime wawekeze kwa ajili ya watoto wao wewe unajilazimisha kujimilikisha ila hakuna dhambi isiyokuwa na mwisho.
 
Back
Top Bottom