Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Ugali+dagaa, kitimoto+ndizi, ugali +nyama choma. Ugali na mboga zozote ambazo ni fried au rost nzitoo, na chips mara moja moja.

Wali huwa nakula kwa bahati mbaya sana.
 
Mimi ni papuchi na msambwanda tuu aseeeeeee ndo vyakula vyanguuuuuuuu
 
Heshima kwenu wana jf

niende straight kwenye mada je ni chakula gani ambacho ukila una ridhika kabisa...??
Mm ni wali maharage yaani kwenye sherehe hua sikosi kama kuna hiki kitu wali maharage

wewe je unapenda chakula gani zaidi
Ugali na nyama ya mbwa aliyekaangwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…