green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichuri huwa hakisahauliki kwa sababu ni sehem ya Mboga lazima akupe mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesahau nini ile chungu? Kachuri
Mzee wa KAZI.Ugali+dagaa, kitimoto+ndizi, ugali +nyama choma. Ugali na mboga zozote ambazo ni fried au rost nzitoo, na chips mara moja moja.
Wali huwa nakula kwa bahati mbaya sana.
Kichuri yes. Nimekula hiyo kitu pale Nyakato buzuruga .BalaaaKichuri huwa hakisahauliki kwa sababu ni sehem ya Mboga lazima akupe mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ugali na nyama ya mbwa aliyekaangwa vizuriHeshima kwenu wana jf
niende straight kwenye mada je ni chakula gani ambacho ukila una ridhika kabisa...??
Mm ni wali maharage yaani kwenye sherehe hua sikosi kama kuna hiki kitu wali maharage
wewe je unapenda chakula gani zaidi
Ugali Makinikia aisee😱