gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
We ni mchaga sakayo [emoji5][emoji5]Ndizi rost, nyama choma na pilipili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mchaga sakayo [emoji5][emoji5]Ndizi rost, nyama choma na pilipili
Wapare utawajua tu.Makande
Mmmhhhh....Makande
Nina hizo chembe chembe kwa mbaaaliWe ni mchaga sakayo [emoji5][emoji5]
Utakulaje chakula kimepoa mkuu. Raha ya utamu uwashwe.mnapenda pili pili kama wahindi
Hujakosea mimi ni MPARE, nimezaliwa upare, nimekulia upare, nitazeekea upare, mie ni mpare halisi wala sio wapare wakusema "ooooo ni mpare lakini tunaishi Daa" hapana mie ni mpare haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWapare utawajua tu.
hahahaha, nini tena na wewe kuguna? au hupendi makande? Mie ni chakula cha asili, nimeanza kula makande tokea nina miezi sita, mimi sikuwahi kula "cerelac" ni makande tu kwa kwenda mbeleMmmhhhh....
Haya burudika na msosi wakohahahaha, nini tena na wewe kuguna? au hupendi makande? Mie ni chakula cha asili, nimeanza kula makande tokea nina miezi sita, mimi sikuwahi kula "cerelac" ni makande tu kwa kwenda mbele
Hongera zako.Ugali wa mhogo na sato wa mchemsho na pili pili kwa mbali.
Huyo ulimuita vipi