Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Chakula halali chenye virutubisho (angalau kimoja) vinavyohitajika mwilini
 
Napenda hii basi tu nimeshindwa funguka
Karibu sana...

396818

Basi shushia na hii mama...

kitimoto.jpg
 
Mm napenda sana pilau jamani, ikiwa pilau nyama, au pilau kuku na juice bariidi ya matunda fresh huku salad pembeni, yn hapo hata km haujanikaribsha me nakaa nakula tu
Hahahaaa. Basi siku ya iddi ndio liwe pishi letu siku hiyo. [emoji23]
 
Back
Top Bottom