Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana...
![]()
Basi shushia na hii mama...
![]()
Mbona kuna mdoweaji hapoooBasi shushia na hii mama...
![]()
OoohHapana. Huyo ni shoga angu my wi na yeye ni mpenzi wa hiyo kitu.
Ni mdada huyo [emoji2] [emoji2]
Hahahaa. Jamani my wi [emoji23]Oooh
Kidogo nimuite kakako
Napenda hii basi tu nimeshindwa funguka
Ha ha ha, ongea na Babu anafuga hizi kitu..!
Ndio nini na nini sasa?Chakula halali chenye virutubisho (angalau kimoja) vinavyohitajika mwilini
Babu mtaalamu wa kurusha picha tu ila mkionana live anakwambia pesa kwanza utani baadae
Ha ha ha, babu ana mambo yake yule, ukimpatia vizuri anaweza kukupa hata banda zima.
Mm napenda sana pilau jamani, ikiwa pilau nyama, au pilau kuku na juice bariidi ya matunda fresh huku salad pembeni, yn hapo hata km haujanikaribsha me nakaa nakula tu
Hahahaaa. Basi siku ya iddi ndio liwe pishi letu siku hiyo. [emoji23]Mm napenda sana pilau jamani, ikiwa pilau nyama, au pilau kuku na juice bariidi ya matunda fresh huku salad pembeni, yn hapo hata km haujanikaribsha me nakaa nakula tu
Nipo seat ya kwanza hapa emmyta a.k.a Font ferd,Hahahaaa. Basi siku ya iddi ndio liwe pishi letu siku hiyo. [emoji23]
ugali dagaa