Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 670
- 744
ugali dagaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ugali dagaa
Hapo nimetaja kwa ujumla, sasa wewe angaliaNdio nini na nini sasa?
Nimehisi tu aisee,nice [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nina hizo chembe chembe kwa mbaaali
Usijali mwifwa sisi na wewe labda uwe hupendi chakula chetu. [emoji2]Nipo seat ya kwanza hapa emmyta a.k.a Font ferd,
Hata usiponitag utakuta nishafika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We sakayo ww unajifanya hunijui ukiwa kwenye anga zako, haya lkn me huyu shogaangu km ulivyo wwHuyo ulomuita ndo naniliu wetu au
HahahaWe sakayo ww unajifanya hunijui ukiwa kwenye anga zako, haya lkn me huyu shogaangu km ulivyo ww
Basi ntakuletea mzima kamilikamili...Napenda hii basi tu nimeshindwa funguka
Heshima kwenu wana jf
niende straight kwenye mada je ni chakula gani ambacho ukila una ridhika kabisa...??
Mm ni wali maharage yaani kwenye sherehe hua sikosi kama kuna hiki kitu wali maharage
wewe je unapenda chakula gani zaidi
karibu shemeji...Me wali, mandondo na mbuzi mkatoliki ndio vitu vyangu
Anaogopesha kwel
Chukueni kitu kizima hiki mkaangaike nacho...
![]()
Si umesema unampenda... afu unasema mi mchoyo..Leo umeamua ee vitamu tupu
Anaogopesha kwel
Tuwaalike na wakina sakayo na jakitoo pamoja na jiran yangu Daby tusimuache[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Basi siku ya iddi ndio liwe pishi letu siku hiyo. [emoji23]
Uchoyo sio kabisa yani...Tuwaalike na wakina sakayo na jakitoo pamoja na jiran yangu Daby tusimuache[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaogopa kuibiwa??, Jiamn mpenzi nakupa asilimia zote huyu wifi yako hawez kuchepuka hata dkHahaha
Shogaaa, sijui ni hiyo avatar imenifanya nikusahauu....
My wii namlinda bhana
Daby c kwa kunchekesha uko,jakitoo tayari anakula![]()