Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Wapare utawajua tu.
Hujakosea mimi ni MPARE, nimezaliwa upare, nimekulia upare, nitazeekea upare, mie ni mpare halisi wala sio wapare wakusema "ooooo ni mpare lakini tunaishi Daa" hapana mie ni mpare haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mmmhhhh....
hahahaha, nini tena na wewe kuguna? au hupendi makande? Mie ni chakula cha asili, nimeanza kula makande tokea nina miezi sita, mimi sikuwahi kula "cerelac" ni makande tu kwa kwenda mbele
 
Supu + pilipili + chapati + maharage ya nazi,, aiseh utamu wake.. unaweza ukasahu kama bashite hana vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…