Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ukiwa hivyo unajifungua katoto kama hakaMdogo wangu ungekuwa hivyo nisinge kukubalia ufuturu kwa kweli ungekuwa unakunywa maji na juice tu mpaka ramadhani ikiisha uwe umepungua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa hivyo unajifungua katoto kama hakaMdogo wangu ungekuwa hivyo nisinge kukubalia ufuturu kwa kweli ungekuwa unakunywa maji na juice tu mpaka ramadhani ikiisha uwe umepungua.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] . Safi sana mdogo wanguUnaogopa kuibiwa??, Jiamn mpenzi nakupa asilimia zote huyu wifi yako hawez kuchepuka hata dk
HahahaKaribu...
![]()
Daby Unataka nivimbe siooo
Mmh. dingimtoto weweeeeKitimoto na pilau
We ndo unamkomaza kule kwenye kajukwaa kenu
Afadhali akudonoe tuuChangamoto kubwa ... wala hujakosea
View attachment 522902
Hujaamua tu, ukitaka mbona nawezeka kirahisi tu??Babuuu mie sikuwezi
Shemeji wewe vimba tu. Ujue sina uchoyo jana ulininyima cake ila leo nakukaribisha linyamaDaby Unataka nivimbe siooo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hujaamua tu, ukitaka mbona nawezeka kirahisi tu??
![]()
Daby una nn leo?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiwa hivyo unajifungua katoto kama haka![]()