Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waweke yote kabisa [emoji39] [emoji39] [emoji39]Shem na hii wakufungie take away tafazali...
![]()
Not to that extentAsa utafaidi nini??
![]()
Umeonaee tusiwaache kina alibakari James Comey mtebetini kisiki kizito chuma cha mjerumani na SHAMAC nao waje
Hahahahahaha Baki umetisha sana mkuu.Ugali wa unga mahindi uliochanganywa kidogo na unga wa muhogo kwa samaki za kukaanga/dagaa na mchicha wa nazi au chuku chuku wenye nyanya chungu pembeni kuna Pilipili mbuzi/kichaa. Huwa najisikia raha sana kula chakula hiki si mchana si usiku.
Karibu binamu...
![]()
Daaah. Sio kwa kupenda chakula kizuri hivyo. [emoji39]Ugali wa unga mahindi uliochanganywa kidogo na unga wa muhogo kwa samaki za kukaanga/dagaa na mchicha wa nazi au chuku chuku wenye nyanya chungu pembeni kuna Pilipili mbuzi/kichaa. Huwa najisikia raha sana kula chakula hiki si mchana si usiku.
Daaah. Sio kwa kupenda chakula kizuri hivyo. [emoji39]
Itabidi Ramadhani ikiisha nikukaribishe aisee mana nshajua nini unapenda. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lol! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante sana Emmyta
[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257]Nausubiri mwaliko kwa hamu kubwa sana. Natumai mpishi utakuwa mwenyewe ukifanya mautundu yako ya jikoni.
[emoji23] [emoji23]. Usijal BAK. Hiyo ndio raha ya kujua mgeni anapenda nini. [emoji2] [emoji2]