Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Kenya makande yao yanaitwa Githeri wanaongeza vikorombwezo mfano viazi ulaya,mboga mboga etc iko vizuri sana
 
Ndizi zozote zile ili mradi ziwe za kupika hata mpishi azipike akiwa uchi sizipendi, ziwe za nyama au maharage sijui utumbo nk nk sizipendi.
Aisee utadhani umeandika kilichomo kichwani mwangu!...sipendi ndizi za kupima period!
 
Njaa inauma.. dah
 
Kwa ujumla sivutiwi sana mboga zenye mafuta mengi hasa michuzi michuzi .

Na kama utanikuta nakula basi mpishi alipika kwa ustadi mkubwa hadi kunivutia .

Ila kuna products zisipende sababu zinaniletea kichefuchefu hasa kama nikizitumia zaidi ya Mara moja

Mfano

Blue band

Siaga ya karanga.

Haya madude huniletea kichechefu so kwangu no taboo.

Pia mi in mpenzi mkubwa Wa nyama na samaki hasa kama ni za kubanika

Beside nakula kila msosi ukitoa hiyo niliyoorodhesha.

Ila sio misosi ya kihindi no never kwa kweli[emoji12] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…