Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.
Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.
Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
Ugali bilinganya
achana kabisa na hii kitu inaitwa machalari 😛😛 unaeza waza kwann kuna kufaWaaooh that is my favorite meal, machalari in meat on the bone.
hahahahahah aiseePilau aisee! Hasa ile harufu nachefukwa mno
kuna makande yanapikwa kama pilau achana na hayo maharage yaani ukipikiwa na wataalam kama sisi utahamia.
ujue hakuna chakula kibaya sema ni mapishi na ulle mpangilio wa kula .chakula chochote ukila kila siku unakinai .chakula kilekile mapishi yale yale ndo tatizo la waafrica
ahaaaa aya mamy! leo wapika nini?Hapo kwenye bold and blue ndio point haswa ilipo mengine mbwembwe tuuu
ahaaaa aya mamy! leo wapika nini?
Nitake radhi aisee[emoji3] [emoji3] [emoji3] ugali upigwe marufuku nitaandamana napenda nile mchana kwa mboga zozote zile ila isiwe mbonga jamii ya mikunde ukiondoa njegere tu.Binafsi siupendi Ugali na haijalishi kuna mboga gani, nakula Ugali tu kama sina jinsi lkn siupendi na hata kama ukipigwa marufuku kwangu poa tu na kamwe siwezi kuumiss!
Ugali wa muhogo unakula wewe?Mmmmh me nakula almost everything subiri nifkirie nlichokua sipendi