Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

Chapati na nyama
 
Mie wala sina ubaguzi kwenye Vyakula.

Ingawa ni mpenzi mkubwa wa Samaki kwa mapishi yoyote yale, iwe wa Nazi, wa kuchemsha Ndimu/Limao kwa wingi, wa kubanika na kuendelea
 
Saa hii 0337HRS nimemwulizia wifi yenu kama maharage aliyopika mchana yalibaki lengo ni kujihakikishia strong breakfast ya kiporo cha wali kwa ndondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…