KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
😂😂Thi ulithema unayapenda...!!??? Ahahahaaaaaa
Mapengo yako..!
Mi napenda ugali,wali samaki na mboga za majani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Thi ulithema unayapenda...!!??? Ahahahaaaaaa
😂😂
Mapengo yako..!
Mi napenda ugali,wali samaki na mboga za majani..
😉Check out time, cheers.
Nakazia hapa, bila kusahau mboga za majni pembeniUgali dagaa
Hata imi nzaona.Hagi aawie na nahii?Iwe ni ya kaya iwe
Sijui kigosi hiki au?Hata imi nzaona.Hagi aawie na nahii?
ndioSijui kigosi hiki au?
Wajumbe wakihesabu kura kwenye huu uzi hapa ugali dagaa utakua umeshinda
Hahaha pilipili kichaa kabisaaa?Mie na pilipili kichaa au mbuzi. Nakuona unavyoupigia debe ugali na dagaa [emoji12][emoji12]
Hahaha pilipili kichaa kabisaaa?
Ugali dagaa mtamu BAK asikwambie NTU
Nazijua hizo kichaa ila naskia ni klai balaa, nakushangaa unavosema ni tamuu au mwenzangu tunatofautiana kwenye ladhaNaunga mkono hoja, yes pilipili kichaa vinakuwa vidogo vidogo lakini weeeee ni vitamu balaaaa hahahahaha
Nazijua hizo kichaa ila naskia ni klai balaa, nakushangaa unavosema ni tamuu au mwenzangu tunatofautiana kwenye ladha
Hiyo dawa inipitie mbali kabisaa[emoji23][emoji23]Zinachangamsha chakula ile mbaya ila unaweza kumega kiduchu tu usirudie tena. Pilipili pia inadaiwa ni dawa mpendwa.