Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

ugali mboga niwe nabadili mboga ila haswaa ugali bamia la kukoroga na kipande chapapa wa kuchoma auwale uono wa kukaanga
 
Mturaa.....
Nyama chomaaa.......
Kitimotooo..........
Biaaa.......
Konyagi..........
Papuchi..........
 
Kande la njugumawe na ubwabwa
Na choroko ilopikwa pamoja na ubwabwa na ukishushia maziwa mtindi...
Hapa shida ni pale unapokutana na choroko ambayo haikuiva vizuri utakubali muziki...
 
Back
Top Bottom