Kuchelewa ku report nje ya muda is equivalent na kujiondoaNimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Sijui ni shida Gani ila Nina uhakika 100% itakuletea shida.Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Tamisemi ipi unaongelea Halmashauri au?Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Kitego gani upo?Tuwasubiri waje mkuu
Tangu majina yatangazwe na utumishi unakua na siku saba za kuifuata barua Dodoma.
Sidhani.Uki apply kwa mara nyingine wakiachia ajira ni kuhesabu maumivu tu au sio
Usiporipoti hakuna shida yeyote kwa 100%,ila ukiripoti na kujaza yale madocuments ndio tatizo lipo hapo.Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Tangu majina yatangazwe na utumishi unakua na siku saba za kuifuata barua Dodoma.
Zikipita siku 7 hiyo barua itatumwa kwenye anwani (sanduku la posta) uliloandika. Kisha unakua na siku 14 za kuripoti katika kituo cha kazi.
Zikipita siku 14 haujaripoti kituo cha kazi kitarudisha majibu utumishi na nafasi itatangazwa upya au watampa post mwingine.
Nashindwa kujua madhara kwakua ndugu yangu ambaye hakuripoti kituo cha kazi ni kwavile alipata posts 2 so akachagua nyingine na nyingine
Mm nashindwa kabisa kwenda kuripotiTangu majina yatangazwe na utumishi unakua na siku saba za kuifuata barua Dodoma.
Zikipita siku 7 hiyo barua itatumwa kwenye anwani (sanduku la posta) uliloandika. Kisha unakua na siku 14 za kuripoti katika kituo cha kazi.
Zikipita siku 14 haujaripoti kituo cha kazi kitarudisha majibu utumishi na nafasi itatangazwa upya au watampa post mwingine.
Nashindwa kujua madhara kwakua ndugu yangu ambaye hakuripoti kituo cha kazi ni kwavile alipata posts 2 so akachagua nyingine na nyingine aliinyamazia.